SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (25TH FEB 2018) © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT E. MWINGIRA SUBJECT: THE POWER OF GOD Everything here on earth, works and operates through POWER. For instance; in order for a car to be able to move, it needs POWER, for you to work you need POWER, you cannot be married if you don’t have the POWER to attract people to marry you. So, there is POWER that enables things to happen in all spheres of life. NB: DON’T DESTROY SOMEBODY’S FUTURE SO AS TO GET POWER OR THINGS ON EARTH. Whatsoever you do to others, God will revenge it to you. Let the evil do evil, but you as the righteous, continue to do righteousness. So, “DON’T DO EVIL, because God will judge you.” The POWER of God will enable you to be a WITNESS. Acts 1:8 “But ye shall receive power, after that the Holy Ghost is come upon you: and ye shall be witnesses unto me both in Jerusalem, and in all Judaea, and in Samaria, and unto the uttermost part of the earth.” (KJV) God wants us t...
Posts
Showing posts from February, 2018
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: NGUVU YA MUNGU. Chochote hapa Duniani kinafanya KAZI kwa kutumia NGUVU, ili ufanye Kazi unahitaji NGUVU na huwezi Kuolewa kama huna Nguvu ya KUVUTIA Waoaji KUKUOA, vile vile huwezi kupata Mtoto kama huna Nguvu ya KUKUWEZESHA Kupata Mtoto. Ipo NGUVU inayosababisha vitu VITOKEE ndio maana unaona wanasiasa wanatumia nguvu kupata nguvu, wengine wanatumia wachawi kupata nguvu kwa sababu wachawi wana nguvu ya uovu, wakiona haiwasaidii wanatumia Polisi kupata nguvu. Unapotumia nguvu ya UOVU hutaenda MBINGUNI. Yeyote anayetoa rushwa au kuiba mali au nafasi ya mtu mwingine anaharibu Maisha ya huyo mtu na ni muuwaji na wauwaji hawataingia Mbinguni. Chochote utakachowafanyia watu wengine Mungu atakufanyia vivyo hivyo. Acha WAOVU waendelee kufanya UOVU wao na WATAKATIFU waendelee kuwa WATAKATIFU na Mungu aliye hakimu wa Haki atahukumu kwa haki. Usifanye UOVU kwa sababu Mungu atakuhukumu na atakutupa kuzimu. Jehanamu ni sehemu ya HATARI sio VEMA wewe ukaingia huko, ni sehemu MBAYA sana n...
- Get link
- X
- Other Apps
When the Holy Spirit comes, HE will tell you about your CHARACTER. Before the Holy Spirit does anything, HE will show you your sin; about what happened and why are you facing those situations. “HE will tell you that whatever you are facing is because of your SIN.” “DO YOU WANT TO PROSPER, TO SHINE & TO BE FAMOUS? ALLOW THE HOLY SPIRIT TO SPEAK TO YOU” © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT E. MWINGIRA (Efatha Ministry).
- Get link
- X
- Other Apps
Salvation is LIGHT and as a SAINT you should make sure that you standard as an AMBASSADOR of the Kingdom of God. “MAKE SURE THAT PEOPLE SEE JESUS WITHIN YOU” - Reflect JESUS through your lifestyle. People are tired with the CHARACTERS they have, but they need you to reflect JESUS to them so that HE may touch them. "I thank God for giving me a husband that loves God. If he wouldn’t love me I could not be able to reach various parts of the world. “He is my friend, my husband, my father and a servant of God.” © Mama Eliakunda Mwingira (Efatha Ministry).
- Get link
- X
- Other Apps
WEWE ambaye Umeokoka shika WOKOVU wako sawasawa kwani wako watu ambao Wanakuhitaji, wewe ni NURU na wengine wanatakiwa KUIONA Nuru yako. Je Unaang’aza au watu wakikuangalia wanaona giza?. Mimi ni BALOZI wa Yesu hivyo popote ninapopita Yesu ANAONEKANA Ndani yangu na watu huniuliza wewe ni Mtumishi wa MUNGU? Je wewe UNAMTANGAZA Yesu katika Maisha yako na popote unapopita watu wanaseme wewe ni Mtumishi wa MUNGU au watu wanasema kama Wokovu wenyewe ndio huu basi, kwa sababu ya TABIA zako? Hakikisha TABIA yako INAMTANGAZA Yesu na Mwenendo wako UNAMHUBIRI Kristo sawasawa, uwe Barua inayosomeka vizuri, Wewe ni BALOZI wa Yesu watu wakikuona wanatakiwa wamuone YESU. :- Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Mwingira (EFATHA MINISTRY).
- Get link
- X
- Other Apps
Muda umefika wa KUDHIHIRISHA NGUVU zake YEYE aliye juu. Hutatishiwa na Umaskini, Mapepo, Uchawi wala ajali haita kutisha, JITAMKIE kuwa “Mimi ni mbeba INJILI na Hakuna cha Kunitishia”. Hutatishiwa na maradhi wala magonjwa kwa kuwa Mwili wako ni HEKALU la Roho Mtakatifu. Muda unakuja na sasa UMEFIKA; Udhihirisho wa ROHO MTAKATIFU uko ndani yako, magonjwa na mateso hayatakusumbua. Wewe ni MAALUMU kwa ajili ya UFALME wa Mungu. Umekaa kwa muda mrefu ukiwa Unateseka na Vitisho vya kila aina na Umaskini umekusumbua, umekuwa usiyejua wapi Utakula, Utavaa nini au Utawapelekaje watoto wako shuleni; kipindi hicho Kimekwisha BWANA Amekukumbuka na WEWE. TEMBEA kifua mbele huku ukijua kuwa BWANA yupo Pamoja nawe. © MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY).
- Get link
- X
- Other Apps
© APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY) When we Saints do according to what God desires, we shall become the best. So, always call upon Jesus to judge you according to HIS righteousness. Proverbs 8:17-20 “I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honor are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righte ousness, in the midst of the paths of judgment.” (KJV) Once you accept to walk according to God’s schedule, you will rejoice daily. So, follow God’s schedule with all diligence, so that HE may shine HIS light upon you, so that you may be able to see what you are required to see. # Ask_yourself ! “Are you ready to follow God’s schedule?”
- Get link
- X
- Other Apps
© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA: Katika kila jambo unalolipitia hapa chini ya jua unapaswa kujua kuwa MUNGU YUKO PAMOJA NA WEWE, kwa wewe kujua hivyo YEYE kamwe HATAKUACHA. Shedraki, Meshaki na Abednego walipotupwa kwenye tanuru la moto hawakuogopa maana walijua wanaye MUNGU mwenye NGUVU atawapigania, na wewe katika maisha yako unapaswa kujua ya kuwa unaye MUNGU mwenye NGUVU ATAKUSHINDIA katika kila jambo. Mtumaini YEYE tu NAYE hatakuacha kamwe.
- Get link
- X
- Other Apps
© APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (Efatha Ministry). In whatever you pass through under the sun, you are supposed to recognize that GOD IS WITH YOU; by understanding that, HE will never FORSAKE you. When Shedrack, Meshach and Abednego were cast in the tarn of fire, they were not afraid because they knew that they had a POWERFUL GOD who would fight for them. The same applies to you; in your life you are supposed to recognize that you have a POWERFUL GOD who will CONQ UER for you in everything. # Have HOPE in HIM alone and HE will never live you.
- Get link
- X
- Other Apps
"Fanya kila unaloweza kufanya ili kuutunza UTAKATIFU; kaa mbali na dhambi. Yesu akasema, "Kama mguu wako unakukosesha ukate, kama mikono yako inakukosesha ikate, kama ni macho yako yanakukosesha yang'oe! Yaani alimaanisha kuwa, fanya kila uwezalo kuutunza UTAKATIFU." Ukiutunza UTAKATIFU, unapokea NGUVU ya MUNGU; na ukiwa na NGUVU, chochote ufanyacho kitafanikiwa." © MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (Efatha Ministry).
- Get link
- X
- Other Apps
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (11TH FEB, 2018) © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. THINGS TO CONSIDER AS A BELIEVER; • Make sure you live in Holiness. Because Holiness is the characteristic of God; and through it the Holy Spirit will dwell in you and nothing shall overcome you. HOLINESS IS THE KEY TO VICTORY. “Do whatever you can so as to gain Holiness; stay away from sin.” Stop lying, stop stealing; whatsoever you gain make sure that ten percent of it, you give it to God (the aim is to maintain your relationship with God). - HOLINESS alone makes the devil stay away from you. - Only HOLINESS can make you maintain greatness in your life. - You cannot gain POWER if you don’t HOLD upon HOLINESS and the RIGHTEOUSNESS of God. (When you wake up each day, think how you will maintain your HOLINESS in whatever you do). Tell your eyes, stop loving to see evil, tell your ears, stop loving to listen the evil; tell your soul, keep Holiness. Tell your soul that; “my...
- Get link
- X
- Other Apps
2 Kor 6:17 -18 "Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. NITAKUWA BABA KWENU, Nanyi mtakuwa kwangu WANANGU wa kiume na wa kike, asema BWANA MWENYEZI". Anapozungumzia awe Baba tena Baba Mwenyezi ana maana gani? Ana maana YEYE atakutunza kama Mtoto wake nawe utakaa kwa salama bila kitu kukutikisa wala kupungukiwa na kitu. Kama Neno lisemavyo: 2 Kor 6:1-10 "Nasi tukitenda kazi pamoja naye, twawasihi msiipokee Neema ya Mungu bure. (Kwa maana asema, Wakati uliokubalika nalikusikia, Siku ya wokovu nalikusaidia; tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndio sasa.) Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe; bali katika kila Neno tujipatie sifa njema; kama watumishi wa Mungu...........".
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: LAANA. Mithali 26:2 "Kama shomoro katika kutangatanga kwake na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; kadhalika LAANA ISIYO NA SABABU HAIPIGI MTU". Kumbe laana inapiga; utajuaje una laana? Utaona kuna maumivu ya akili, moyo na mwili. Apigaye ni laana! Mst.3 "Mjeledi ni kwa farasi, lijamu ni kwa punda na fimbo ni kwa mgongo wa mpumbavu", utajuwaje wewe ni mpumbavu? Kuna viboko vya maumivu na mateso unayopitia. Kila misukosuko katika maisha ya mtu pana sababu ya msingi katika msukosuko huo. Niliwahi kusoma kitabu kimoja kilichokuwa kinaelezea juu ya mtu mmoja aliyemuhudumia mama mmoja kule Marekani aliyekuwa anateswa na mapepo, akafunguliwa na baadae yule mama akapata nafasi ya kwenda kutembelea Israel, alipofika huko akanunua zawadi akarudi nazo akaziweka nyumbani kwake. Baada ya muda akaanza kusikia hali mbaya katika maisha yake, hali kama ile ya zamani imemrudia, na waliokuwa jirani wakampigia yule Mchungaji aliyemuhudumia. Yule Mchungaji akapiga magoti kumuuliz...
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: LAANA. Joshua 7:10. "BWANA akamwambia Yoshua, haya! Inuka, mbona umeanguka kifudi fudi?......" Mungu alitoa tamko juu ya mji wa Yeriko kwamba ule mji umetolewa kama sadaka kwa BWANA hivyo wasichukue kitu chochote ila dhahabu watakazopata watoe kwa BWANA, lakini vingine waue kila kitu. Akani akaviona vya kutamanika akavibeba akaenda navyo. Wanawake wengi wana mapepo kwa sababu wana roho ya kutamani kila kitu; wakiona hereni nzuri wananing'iniza kwenye masikio, wakiona kingine kizuri wanachukua! Sio kila kizuri kinakufaa wewe, wacha vingine viwe vya wengine; hili husababisha kina mama wengi kuwa na mateso ya kila aina. Cha kushangaza baada ya Akani kuleta vile vitu nyumbani vilileta hatari kubwa sana. Wana wa Israel walipoenda kupigana vitani wakapigwa sana; adui zao walikuwa wachache kabisa lakini wakawakimbiza wana wa Israel waliokuwa wengi zaidi. Joshua akamlilia BWANA, BWANA akamwambia "umeleta unajisi katika kambi hii", ndipo wakamkamata Akani wakamuua....
- Get link
- X
- Other Apps
SUBJECT: CURSES Many have reached a point of rebuking the devil, but they have not recognized that the problem is upon the one they face in the mirror each morning. The Lord Jesus said, "How can you deal with a little chip on your partner's eye when you have a beam in your own eyes?" Stop being bothered by the devil, because he is a tiny thing to you, that if you call upon the name of Jesus he runs away; deal with those things that are within you. Whenever you look at peopl e here on earth, each one has a certain mark of curse that eats him/her. Others fail to recognize that anything that is against you is a curse, but whatever makes you succeed is a blessing. Because God did not say sickness but HE said that, "you are cursed with a curse." this is where diseases and sufferings line-up. Today some fail to know why they are suffering and facing pain; but it is because of curses. Once you are blessed, you no longer live by depending on your salary even if ...
- Get link
- X
- Other Apps
Zaburi 139:23-24 "Ee Mungu unichunguze uujue moyo wangu, unijaribu uyajue mawazo yangu, uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu; ukaniongoze katika njia ya milele", haya ndio MAOMBI ya mtu anayetaka KUPONA na KUFUNGULIWA katika vifungo vilivyoko ndani yake; anayetafuta Wema wa BWANA utokee kwake; anayeteseka anatafuta kiini cha mateso yake; aliye na taabu anayemlilia BWANA apate kumjulisha kiini cha tabu yake; mama aliye na tatizo la ndoa anayemlilia BWANA apate kumkumbuka. Usifurahi unakula tu Ugali na Kushiba wakati wengine wanasaza, wana Nyumba nzuri, Magari mazuri na Maisha yao ni Mazuri na yenye Baraka; watoto wao wanasoma shule nzuri na wanapendeka maana wanafaulu vizuri, ukoo wao unatukuka! Lakini wewe hata ujitahidi, mbele huendi, kulikoni? Mwenye haki ana mateso mengi lakini BWANA humponya nayo yote. Leo BWANA atajifunua kwako kubali kufungua Moyo wako. Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, akamwokoa na taabu zake zote; akafungua macho akamwelekea BWANA wala uso...
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: TAMBUA ADUI ANAYEKUTAFUNA. Mathayo 10:36 "Na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake mwenyewe", wale wa nyumbani ni adui wabaya maana wako jirani na wewe na wanakufikia kwa ukaribu na kwa urahisi na wanakujua vizuri. Biblia imeweka wazi kwa kuweka mtazamo wake bayana kwamba adui za mtu ni hawa wafuatao:- (1). Mtu mwenyewe (Mathayo 7:3; Yer. 17:9" Moyo wa mwanadamu ni mdanganyifu, unaugonjwa wa kufisha". Inamaana adui yako mkubwa ni wewe". Adui wa mtu ni yeye mwenyewe hasa wale wa nyumbani mwake. (2). Shetani. 1Petro 5:8 "Muwe na kiasi na kukesha maana mshitaki wenu ibilisi kama simba angurumaye huzunguka zunguka akimtafuta mtu ammeze". Yohana 8:48 "Ninyi ni wa baba yenu Ibilisi na tamaa za baba yenu ndizo mzipendazo kuzitenda yeye alikuwa muuwaji tangu mwanzo, wala hakusimama katika kweli kwa kuwa hamna kweli ndani yake, asema kwa uongo, asema yaliyo yake mwenyewe kwa sababu yeye ni mwongo na baba wa uongo". Tunaona mtu mwenyewe...
- Get link
- X
- Other Apps
The reason to why you were saved is so that you may recognize what is torturing you, and so that you may stay away from your persecutions. It’s like the children of Israel, God saw there persecutions, HE heard their cries, HE saw their pains; then HE sent Moses and told him, “I have seen the persecutions of my people, and their cries have reached my ears, and I have come so as to save them.” And God saved the Israelites through the hands of Moses. God showed Moses the proble m, and told him; “I send you to Pharaoh,” so; the problem was Pharaoh! Even the bible says, “After Joseph died, there emerged a King named Pharaoh who did not know God.” Even today, GOD has seen your persecutions and HE has decided to bring you the message that will take you from where you are. PRAYERS: O LORD God search me, and tempt me, look and know the thoughts of my heart, and look if there is a state of remorse in me; because I want to move and pass through a safe path. Why are my sons not prospering? W...
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: KUTAMBUA ADUI ANAYEKUTAFUNA. Adui mkubwa wa mtu ni yeye mwenyewe. Mithali 7:3" Basi mbona wakitazama kibanzi kilichoko ndani ya jicho la nduguyo na boriti iliyoko ndani ya jicho lako mwenyewe huliangalii". Yeremia 1:11" Tena Neno la Bwana likanijia kusema Yeremia waona nini, nikasema naona ufito wa mlonzi ( maana yake ni mateso)". Sasa mtesi mkubwa ni wewe mwenyewe! Yesu anasema liangalie hilo boriti jichoni kwako; yakupasa kufahamu kwamba unatakiwa kuyatatua yale yanay okuhusu kabla hujaanza kuyatatua ya mwingine. Tusiwe watu wa kuangalia huku na huku na kusema, " Yule anadhambi sana, yule anashida sana", hebu uwe mtu wa kuangalia ya kwako alafu uone unaweza kutoka mahali kwenda mahali. Hebu angalia yale unayoweza kuyatatua. Tafuta kwa bidii kujua yanayokuumiza kabla hujashughulikia yamuumizayo mwenzako maana yawezekana matatizo yako yanasababisha wengine wateseke au waumie. MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - EFATHA MIN...
- Get link
- X
- Other Apps
Sababu ya wewe kuokolewa ni ili utambue kinachokutesa, na uweze kuondokana na mateso hayo. Ni kama wana wa Israel, MUNGU aliona jinsi walivyokuwa wanateseka, akasikia kilio chao, akaona maumivu yao, akamtuma Musa akamwambia, "Nimeona mateso ya watu wangu, na kilio chao kimefika masikioni mwangu, na nimeshuka ili niwaokoe", MUNGU akawaokoa wana wa Israel kwa mkono wa Musa. MUNGU alimwonyesha Musa tatizo, akamwambia " Na kutuma kwa Farao ", hivyo tatizo lilikuwa ni Farao! Hata Biblia inasema " Baada ya Yusufu kufa, akatokea Mfalme Farao asiyemjua Mungu". Hata leo MUNGU ameona mateso yako ameamua akuletee ujumbe utakao kutoa mahali ulipo. MAOMBI. Ee BWANA Mungu unichunguze, unijaribu,uyaangalie, uyajue mawazo ya moyo wangu, na uangalie kama kuna hali ya majuto ndani yangu, ya maumivu maana nataka kutoka na kupita katika njia ya salama. Kwa nini wanangu hawafanikiwi, kwa nini ndoa yangu ina kelele, kwa nini maisha yangu yamekuwa ya kupepesuka kama mlevi? K...
- Get link
- X
- Other Apps
FIRST SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (04TH FEB, 2018) PASTOR CONSTANTINE MASAWE SUBJECT: POWER OF GOD WHAT IS POWER? # You must know what you are doing so that you can use it. - It's the ability to do something, the ability to show something, the ability to do something and to make sure something is done. There are powers of distraction that will destroy anything that you do; you need the power of God to do whatever you want, and without the power of God you can not do anything. To overcome your adversary you need the power of God to be able to defeat them; be it the POWER of speech, teaching, education and so much. God has allowed His POWER to suppress the enemy through you. You must understand that your God is a GREAT God and He has POWER. 5 CATEGORIES OF POWER TO HELP YOU OVERCOME THE DEVIL; • THE NAME OF JESUS. • THE BLOOD OF JESUS. • THE POWER OF PROCRAMATION. • THE POWER OF T...
- Get link
- X
- Other Apps
FIRST SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (04TH FEB, 2018) PASTOR CONSTANTINE MASAWE, POWER OF GOD 1) THE NAME OF JESUS Philippians 2: 9-10 "Wherefore God also hath exalted him great, and given him the name which is above every name: That in the name of Jesus every knee should bow, of things in heaven, and things in earth, and things under the earth. "(KJV) 2) THE BLOOD OF JESUS Revelation 5: 9-10 "And they sing a new song, saying, Thou art worthy of the book, and to open the seals thereof: for thou wast slain, and hast redeemed us from God, and language, and people, and nation; And we will rule over the earth. "(KJV) By HIS blood we receive our healing and deliverance. We are also updated every day of our lives by HIS blood. Through the Holy Spirit, we receive the power that comes from the Lord so that we can show the manifestation of the POWER OF GOD. We walk with the Spirit so that we can overcome those things that are against the church ...
- Get link
- X
- Other Apps
Mungu ni MUNGU wa Ulimwengu wote, hivyo unapoabudu kwa Moyo wako wote Mungu anaweza kukupa thawabu, wale wanaomwabudu YEYE kwa Imani wanapewa thawabu; kwa sababu hiyo Mungu anawafanya kuwa ni watu wakuu sana. Mwabudu YEYE kwa Akili zako zote, Moyo wako wote, kwa Muda wako wote ili YEYE Akupatie thawabu na kukufanya uwe MKUU. Mwabudu Mungu kwa sababu YEYE ni MUNGU wako na usimwabudu kwa sababu unataka kitu kutoka kwake; Mungu anajua kwamba ni nani anaabudu kwa sababu ya Mazingira yake anayopitia au matatizo yake. Watu wengi wanamwabudu Mungu kwa sababu wanauhitaji au wako kwenye msongo wa mawazo na wakishaondokana na hiyo hali hawaendi tena Kanisani wala hawaabudu tena; ukiwauliza kwa nini wanaanza kutoa sababu nyingi. Ndiyo unaweza kufanya hivyo lakini Mungu hatakuacha, kwa sababu wewe unapomuhitaji anakuja itafika mahali hata pale ambapo utamuhitaji tena hatakuja. Hakikisha unakuwa na MUDA wa Kumwabudu Mungu, weka maamuzi yaliyo halisi usifanye mchezo mchezo maana ata...
- Get link
- X
- Other Apps
WHY POWER? (THE OBJECTIVES OF POWER) • Power will enable us to be witnesses. So, when you desire POWER, don’t desire it for the sake of money but let it be for the sake of being a witness. God is able to make you wealthy, but the core aim of it, should be being the witness of God and the Kingdom. - Let your wife, husband, parents, children, in-laws, work place and all know that you are born again; through your actions. (How you speak, do things, how you use your money and time will show that you need the POWER of God to push you to do more for the Kingdom of God). The POWER of God is there to show you and give you assurance that you are born again. John 16:8 “And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment.” (KJV) THE HOLY SPIRIT ASSURES US ON THREE AREAS; 1. About Sin 2. About Righteousness 3. About Judgment. When you desire to LOVE Jesus; don’t TRY (pretend) to be saved but MEAN it and take concern of it. Because if you are try...