"Unapoanza kupokea vitu kutoka kwa MUNGU, ongeza MUDA zaidi wa kukaa baraza na ROHO MTAKATIFU. Maana YEYE atakuongoza na kukufundisha nini ufanye ili uweze kupokea Mema zaidi na namna ya Kuyatunza."

© Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry).

Comments