Latest in Tech

January 18, 2018
Naibariki Alhamisi yangu, ..... Alhamisi yangu IMEBARIKIWA, NITASITAWI kama BWANA Alivyonena, SITAPUNGUKIWA na KITU. YESU nakupenda, Asante ...
January 17, 2018
SOMO: KAZI ZA NGUVU YA MUNGU. - Kukamilisha na Kufanikisha Maono ya Kiungu. Yesu alipokuja duniani, alihitaji NGUVU ili kufanikisha Kazi yak...
January 17, 2018
Naibariki Jumatano yangu, FURAHA YA BWANA hii pamoja nami, UWEPO Wake huu Pamoja nami, YEYE ni BWANA na MUNGU wangu, HATANIPUNGUKIA. YESU...
January 17, 2018
SOMO: USIDHARAU UUMBAJI WA MUNGU. Kila alichoumba MUNGU kinakubalika mbele zake na kina Kusudi maalum kwa ajili yake, tena ni Watumishi w...
January 16, 2018
Naibariki Jumanne yangu, Jumanne yangu ni ya USHINDI, Jumanne yangu ni ya BARAKA, Jumanne yangu ni FURAHA, Jumanne yangu ni ya UTUKUFU WA MU...
January 15, 2018
Naibariki Jumatatu yangu, Jumatatu yangu ni ya USHINDI, Jumatatu yangu ni ya KUFANIKIWA, Jumatatu yangu ni ya KICHEKO, SITAKUWA kama NILIVYO...
January 13, 2018
TOPIC: “THE SPIRIT OF THE LORD UPON US.” The Spirit of the Lord upon us has carried two great things, which are; IDENTIFYING GOD TO PEOPLE a...
January 13, 2018
SOMO: ROHO WA BWANA JUU YETU. Roho wa Bwana juu yetu, amebeba mambo Mawili makubwa, nayo ni KUMTAMBULISHA MUNGU KWA WATU na KUPAKA WATU MAFU...
January 13, 2018
SOMO: ROHO WA BWANA JUU YETU. Roho wa BWANA juu yetu, ni moja ya Roho saba za Mungu zinazotenda kazi duniani, ambaye alihusika kuumba Mbingu...
January 13, 2018
"If you want to show the love of God to many by showing them how God loves His people; read the book of John and his Epistles, also rea...
January 12, 2018
Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira: Mungu anatafuta watu wanyenyekevu, walio tayari Kumwabudu ambao wanatetemeka wa...
January 12, 2018
Naibariki Ijumaa yangu, MUNGU BABA Amenibariki, na NENO lake ni KWELI, SITAPUNGUKIWA wala SITAHITAJI maana YEYE Yu Pamoja nami, Atanifanya N...
January 11, 2018
SOMO: "ACHA WOGA NA MFADHAIKO." Kuna watu ambao wakitishwa na maneno, shinikizo la damu linaongezeka na wanapata magonjwa kwa h...
January 10, 2018
SOMO: “KUONGEZA VIWANGO KUPITIA UUMBAJI WA UTAJIRI.” Huwezi kuheshimika katika taifa lolote isipokuwa pale unapotangaza UTAJIRI wako. U...
January 10, 2018
TOPIC: "RAISING STANDARDS THROUGH WEALTH CREATION" You cannot be respected in any nation unless you declare your Wealth. Pove...
Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.