"Jifunze kujiwekea ALAMA ya njia katika kila jambo unalolifanya au unalokutana nalo, hii itakuwezesha kuwa na MOYO wa SHUKRANI kwa yale MUNGU anayoyatenda kwako siku kwa siku; pia itakupa kuwa salama na kutopotea katika njia yako."
© Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry).

Comments