Naibariki Alhamisi yangu, MUNGU Aliye BABA YANGU WA MBINGUNI NI MZURI SANA, Nitafanya MAMBO MAKUU na Nitakuwa HODARI kwa MKONO WAKE ULIO NA NGUVU, maana NINA NGUVU ALIZONIPA, Haleluya, YESU NAKUPENDA, ROHO MTAKATIFU NAKUPENDA, BABA NAKUPENDA, Alhamisi yangu IMEBARIKIWA.
Comments
Post a Comment