Posts

Showing posts from December, 2017
Image
FATHER'S SEMINAR HELD AT PRECIOUS CENTRE KIBAHA (30TH DEC, 2017) By Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry) The responsibility of the husband is to fulfill the desires and expectations of the wife. For instance; she is expecting a good house, children, husband and so more. But you cannot fulfill the expectations of your wife if you don’t have your own expectations. - Always the expectations of the wife fit within those of the Husband. When the husbands lacks  expectations there will be quarrels within the marriage. Ecclesiastes 11:9-11 “Rejoice, O young man, in thy youth; and let thy heart cheer thee in the days of thy youth, and walk in the ways of thine heart, and in the sight of thine eyes: but know thou, that for all these things God will bring thee into judgment. Therefore remove sorrow from thy heart, and put away evil from thy flesh: for childhood and youth are vanity.” (kjv) CELEBRATING YOUR YOUNG HOOD Young people who are below 30 have
Image
Naibariki Jumatano yangu, Jumatano yangu HAITAKUWA YA KAWAIDA, maana BWANA Ameniahidi MEMA, na YEYE Ananiwazia MEMA, Asante MUNGU BABA, Unanipenda....... Jumatano yangu IMEBARIKIWA.
Image
No matter how wicked and evil you are today, if you decide to start THINKING about God, HE will come closer to you and HE will change you.
Image
Haijalishi wewe ni muovu kiasi gani leo, lakini ukiamua kuanza KUWAZA kuhusu Mungu, Atakuja karibu yako na atakubadilisha.
Image
SOMO: WAZA KUHUSU MUNGU. Amua KUBADILISHA Namna yako ya KUWAZA, umewaza sana kuhusu mume wako na mke wako, amua kuachana na hayo yote na uanze KUMTAFAKARI Mungu. Kama unataka Kuolewa au Kuoa anza KUWAZA kuhusu Mungu, Mungu akasema si vema mtu awe peke yake, kama unataka kupata Mume au Mke mzuri WAZA KUHUSU Mungu na hutapata Kiloriti bali utapata Mume/ Mke kutoka kwa Mungu. Unapoamua KUWAZA kuhusu Mungu wakati watu wapuuzi wakikutamkia laana Mungu anageuza kuwa BARAKA. "NAKUTAMKIA Wiki hii laana yoyote uliyotamkiwa inageuzwa kuwa BARAKA". Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira -Efatha Ministry.
Image
SOMO: WAZA KUHUSU MUNGU. Je wewe UNAWAZA Nini kuhusu Mungu? Watu wanaowaza sana kuhusu Mungu, wakati wa njaa wao Wanavuna sana, wakati vitu vimechacha WAO wana Utele. Watu wanao MTAFAKARI Mungu wakati wa kuzimia wao Wanapaa.  Badilisha namna UNAVYOFIKIRI, anza Kufikiri kuhusu Mungu, watu wengi wanafikiri sana namna ya kupata pesa, watavaaje, watasomeshaje watoto wao, lakini mimi NAWAZA kuhusu Mungu, niko tayari hata kufa kwa ajili YAKE. Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira - Efatha Ministry (Efatha Ministry).
Image
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017). TOPIC: "FAITH". Romans 1:28 “And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient” (KJV) If you follow your MIND, you will do the STUPID things and you will never Prosper. Whoever you see PROSPERING, recognize that he is not following his mind; he is either outside or over his mind. - You cannot start do stupidity until you DENY God within your MIND. God knows that we are weak, and HE is not concerned with your flesh but HE looks at your MIND, “WHAT ARE YOU THINKING ABOUT!” Because your flesh cannot speak or decide but your MIND can decide and speak. - When you deny God in your Mind, HE denies you as well. People suffer because they have denied God. START TODAY, TWIST YOUR MIND AND FOCUS UNTO HIM." - The way you THINK about God is how you build your FAITH. Since without faith, you cannot PLEASE God. G
Image
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. SOMO: IMANI. Nini maana ya IMANI? Imani ni namna UNAVYOFIKIRI, namna ulivyo na UFAHAMU wa mambo. Una UFAHAMU gani kuhusu Mungu, Unamjuaje? Hiyo ndiyo inaitwa IMANI. Namna Unavyomfahamu Mungu ndivyo unavyomsogelea na ndiyo namna YEYE naye Anavyokusogelea. Mungu atakaa pembeni mpaka aone UWEZO au TAMANIO lako la kumjua YEYE. Namna UNAVYOTAMANI kumjua YEYE na kuwa Karibu na YEYE ndivyo utaweza Kumkamata, HUTAWEZA kumkamata Mungu kama ukiwa unawaza mambo mengine. Mara zote ukiwa unaota kuwa unakimbizwa au wachawi wanakuloga ina maana kuwa Mawazo yako hayako kwa Mungu bali katika vitu vingine, maana Mungu amesema kuwa "yeye anipendaye nitasema naye katika ndoto", sasa wewe unapenda vitu vingine na ndio maana unaota hayo, na ina maana kuwa hauko na Mungu katika FAHAMU zako.
Image
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. SOMO: IMANI. Imani inakuja kwa KUSIKIA, huwezi Kumwabudu Mungu kama HUMJUI, ni lazima UMJUE Kwanza ili uweze Kumwabudu, watu wanafikiria ya kwamba ni lazima Umwabudu ndipo umjue hapana. Bwana Yesu akamwambia Msamaria mnamwabudu Mungu msiyemjua. Watu wengi wanamwabudu Mungu wasiyemjua japo kuwa wanakwenda Kanisani. Wengi wenu mnalikataa Neno la Mungu kwa kufuata akili zenu na elimu za Dunia hii. Warumi 10:17 “Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.” Huwezi Kumwabudu Mungu kwa mwili wako bali utaweza kumwabudu YEYE katika Roho; Unafanyikaje kuwa Roho? Unafanyika kuwa Roho kwa KULIELEWA Neno la Mungu. Utakapofika mahali pa Kulielewa Neno la Mungu ndipo utakuwa upo katika Roho, lakini kama hulijui Neno jua kuwa hauko katika Roho bali uko katika mwili, na kama uko katika mwili huwezi UKAMWABUDU Mungu kwa sababu unakuwa hauna IMANI. Kwa kulijua Neno inakusaidia kupata IMANI.
Image
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017) TOPIC: “FAITH” Faith is about the way you think, and the way you understand things. How and what do you KNOW about God. The more you know about God, it’s how God comes closer to you. - The way you get closer to God, it’s how you build intimacy with Him. So the way you want to be closer to God, the way you want to know Him and be with Him, it’s how you trap Him and make Him want to come closer to you. “YOU CANNOT BE CLOSER TO GOD, IF YOU DON’T THINK ABOUT HIM.” - GOD WILL NEVER HEAR YOU & NEVER CHANGE YOU, UNTIL HE SEES YOUR DESIRE TO BE CLOSER TO HIM.  # No  matter how wicked and evil you are today, if you decide to start THINKING about God, HE will come closer to you and HE will change you. Genesis 6:5 “And God saw that the wickedness of man was great in the earth, and that every imagination of the thoughts of his heart was only evil continually.” (KJV) THINKING about God involves thinking about His Gre
Image
LET YOUR MIND THINK ABOUT GOD; Those who THINK about GOD are always Blossoming whether in famine, scarcity or in hunger.
Image
ACHA AKILI YAKO IWAZE KUHUSU MUNGU; Wanao WAZA kuhusu MUNGU, mara zote Uchanua iwe katika ukame, ukata au njaa kali.
Image
Naibariki Jumanne yangu, NITAFURAHI Na KUSHANGILIA maana Nitauona WEMA WA BWANA Machoni pangu, Nitaona MATENDO MAKUU katika Maisha yangu, maana YEYE ANAWEZA, Hakuna Linalomshinda, NITAFURAHI na KUSHANGILIA, Jumanne yangu IMEBARIKIWA, Asante MUNGU BABA kwa UPENDO WAKO MKUU Kwangu, Asante.
Image
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (24th December, 2017) © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA TOPIC: “FAITH” Faith is a substance of the things hoped for. Faith goes with HOPE. But most of the times the people who worship God don’t have hope that’s why they don’t have Faith. The essential things in Faith; 1. Where to Worship. 2. To Whom to hear. 3. What you Hear. Jesus emphasizes that the worshipers should WORSHIP in SPIRIT. The aim as to why we gather together to Worship, is so that; we can be able to HEAR from God. So; It’s not your thoughts to gather in fellowship before God, but it’s God’s thought to gather His people so that they can be able to HEAR from Him. Faith comes by HEARING; so you cannot WORSHIP God if you don’t know God. That’s why you need to know God so that you can be able to worship Him. Romans 10:17“So then faith cometh by hearing, and hearing by the word of God.” (KJV) You cannot WORSHIP God in the physical but in SPIRIT.  # How
Image
(Inaendelea...... SOMO: IMANI) Kwa nini tunakusanyika pamoja ili Kuabudu wakati Biblia inasema kuwa tunatakiwa Kuabudu katika ROHO? Tunakusanyika ili kwamba tuweze KUSIKIA na ili kwamba Mungu aweze kumtumia mtu mmoja aweze Kutusikizisha Neno kutoka kwake. Kwenda Kanisani sio wazo letu bali ni wazo la Mungu ili tuweze kusikizishwa Neno lake. Sio kwa sababu ya matakwa yako unakwenda Kanisani, bali ni Wazo la Mungu maana kuna watu wengi wanaishia kusema ku wa siku moja nitakwenda Kanisani lakini hawaendi, kwa nini? Kwa sababu hawajaruhusiwa kwenda, lakini wewe unayekwenda Kanisani umeruhusiwa hivyo unatakiwa Umshukuru Mungu. Watu wanaweza kukucheka kwa sababu unakwenda Kanisani au Umeokoka, wewe wasamehe na uzingatie katika kile ambacho Unafundishwa, maana ni Mungu ndio amekupeleka huko.  Watu wengine waume zao wanawapa pesa za kutoa sadaka lakini hao waume zao hawaendi Kanisani, kwa nini? Kwa sababu Hawajaruhusiwa, wewe uliyepata Neema ya kwenda Kanisani mshukuru Mungu maana Mu
Image
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA SOMO: IMANI. Mwanzo 6:5 “BWANA akaona ya kuwa maovu ya mwanadamu ni makubwa duniani na kwamba kila kusudi analowaza moyoni mwake ni baya tu sikuzote.” Mungu aliona IMANI duniani, IMANI ni hakika ya mambo yatarajiwayo lakini IMANI inaendana na TUMAINI. Siku moja Yesu alikutana na mwanamke Msamaria, aliyekuja kisimani kuchota maji, Yesu akamwambia tafadhali nipe maji ninywe, yule mwanamke akamwambia sisi na ninyi hatuna uhusiano. Bwana Yesu akamwambia yule mwanamke Msamaria ya kuwa “kama UNGENIJUA kuwa Mimi ni nani ungeniomba maji ambayo hutakaa uone kiu kamwe,” Yule mwanamke akamwambia naomba hayo maji. Bwana Yesu akamwambia mlete mume wako, yule mwanamke akamwambia sina mume, Yesu akamwambia ni kweli kwa maana hata huyu uliye naye siyo wako. Bwana Yesu alikuwa anamsaidia yule mwanamke kutambua makosa yake ambayo yanamletea masumbufu na mateso. Baada ya kutambua dhambi yake akakumbuka Mafundisho aliyofundishwa na wazazi wake. Yule mwanamk
Image
Waimbaji wa Efatha Mass Choir wakiongoza Ibada ya Sifa na Kuabudu katika Ibada ya Kwanza, kituo cha Efatha Mwenge Dar es Salaam, Tanzania. (Tarehe 24.12,2017).
Image
Waimbaji wa Efatha Chipukizi Team wakiongoza Ibada ya Sifa pamoja na Kuabudu katika Ibada ya pili, jana tarehe 24/12/2017 kituo cha Efatha Mwenge Dar es Salaam.
Image
Naibariki Jumatatu yangu, MUNGU BABA Asante, maana ni Jumatatu iliyo ya Pekee kwangu, SITAKUWA kama NILIVYOKUWA, maana HUJANIACHA, Hu Pamoja nami, Nami NITAFURAHI na KUSHANGILIA, Hakika BABA WEWE NI MZURI, Unanipenda, Nami NAKUSHUKURU, Jumatatu yangu IMEBARIKIWA, YESU Asante BWANA, Asante.
Image
Naibariki Ijumaa yangu, Ijumaa yangu IMEBARIKIWA, maana MUNGU BABA Ananijali na Ananipenda, Haleluya, YESU Asante kwa WOKOVU wako BWANA, Nakushukuru, Asante.