Somo: MLANGO: MCHUNGAJI Angelina Mdadila: Wagalatia 4:1"Lakini nasema ya kuwa mrithi, wakati wote awapo mtoto, hana tofauti na mtumwa, angawa ni bwana wa yote". Sisi tuliookoka ni warithi pamoja na BWANA na hatutakiwi kuishi tena kama watumwa bali kama warithi. Katika maisha ya mtu yeyoye ipo milango miwili, mkubwa na mdogo, katika mlango mkubwa vinapita vitu vikubwa na vingi na katika mlango mdogo vinapita vitu vichache na vidogo. Mlango mkubwa unaruhusu vitu vikubwa na vikuu kukujia, pia ukipita katika mlango huu mkubwa unakutana na watu wakuu. Ukipita katika mlango mdogo unakutana na watu wa chini na utakutana na mambo madogo.

Somo: MLANGO:

October 30, 2016
Mchungaji Angelina Mdadila: Hatari ya mlango mkubwa unapofunguliwa vinaingia vitu vingi hata vibaya na inawezekana usiweze kuvijua japok...

USHUHUDA

October 30, 2016
Naitwa Khadija Makani, napenda kumshukuru MUNGU kwa MATENDO yake ya Ajabu aliyonitendea. Nina miaka sita nilikuwa natoa funza katika se...

USHUHUDA.

October 30, 2016
Kwa jina Naitwa Elizaberth Mwenda: Napenda kumshukuru MUNGU kwa MATENDO Makuu aliyonitendea kwa kuniinua kwenye Elimu yangu kwani niliku...

USHUHUDA :

October 30, 2016
Naitwa IRENE: Namshukuru sana MUNGU kwa kunipa KIBALI cha kufika katika Madhabahu yake, namshukuru kwa ajili ya Elimu yangu na Maisha y...

DHAMBI

October 08, 2016
MAMA ELIAKUNDA MWINGIRA: Mungu wetu anatupenda sisi tulio wake, mwanadamu aliumbwa katika ukamilifu lakini baada ya dhambi alipoteza ...

USHUHUDA:

October 08, 2016
Naitwa SAIMONI METELE: Namshukuru sana Mungu ameniponya kwani nilikuwa naumwa presha na kisukari tangu mwaka 2006. Nilihangaika sana ili ...

SOMO: KARAMA;

October 07, 2016
MTUME MICHAEL ADEYEMI ADEFARESINI- KUTOKA NIGERIA: Shetani akitaka kukujaribu anakuletea kitu ambacho kinafanana sana na kitu unachok...

SOMO: KARAMA;

October 06, 2016
MTUME MICHAEL ADEYEMI ADEFARESINI- KUTOKA NIGERIA: Unaposhiriki mateso pamoja na Kristo, utukufu wa Mungu na Roho wake unakaa pamoj...
October 06, 2016
MTUME MICHAEL ADEYEMI ADEFARESINI- KUTOKA NIGERIA: Matendo 17:26-28 “Naye alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mmoja, wakae j...

PASTOR MICHAEL OLAWORE KUTOKA UK (KATIKA KUSANYIKO KUU 2016) Mungu anatangaza mwisho tangu mwanzo, katikati ya ukame, njaa na hali ngumu isiyofuraisha MUNGU atakubariki. Yesu alikupenda hata akafa msalabani kwa ajili yako, na ni mpango wake yeye kukutoa kwenye huo ukame unaopitia. Katika hali yoyote unayopitia MUNGU hataacha kukupenda kwasababu asili yake ni Upendo na hakuna kinachoweza kumbadilisha. Mpango wa Mungu kwako ni mkubwa sana hata katika hayo maumivu unayopitia atakubariki. Amesema amekuchora kwenye viganja vya mikono yake na anakujua vizuri kiasi kwamba hata idadi ya nywele zako anaijua, na kabla hujaingia katika tumbo la mama yako alikujua. Kama hujui kama MUNGU anakupenda na kukujali ujasiri wa kuomba utapotea.

Theme images by Maliketh. Powered by Blogger.