© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA:
Katika kila jambo unalolipitia hapa chini ya jua unapaswa kujua kuwa MUNGU YUKO PAMOJA NA WEWE, kwa wewe kujua hivyo YEYE kamwe HATAKUACHA.
Shedraki, Meshaki na Abednego walipotupwa kwenye tanuru la moto hawakuogopa maana walijua wanaye MUNGU mwenye NGUVU atawapigania, na wewe katika maisha yako unapaswa kujua ya kuwa unaye MUNGU mwenye NGUVU ATAKUSHINDIA katika kila jambo. Mtumaini YEYE tu NAYE hatakuacha kamwe.

Comments
Post a Comment