"Fanya kila unaloweza kufanya ili kuutunza UTAKATIFU; kaa mbali na dhambi. Yesu akasema, "Kama mguu wako unakukosesha ukate, kama mikono yako inakukosesha ikate, kama ni macho yako yanakukosesha yang'oe! Yaani alimaanisha kuwa, fanya kila uwezalo kuutunza UTAKATIFU."
Ukiutunza UTAKATIFU, unapokea NGUVU ya MUNGU; na ukiwa na NGUVU, chochote ufanyacho kitafanikiwa."
© MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (Efatha Ministry).
Comments
Post a Comment