Posts

Showing posts from May, 2014

Haleluya, MUNGU wetu na BABA yetu ni Mzuri, YESU wetu ni Mzuri, ROHO MTAKATIFU MUNGU wetu ni Mzuri, Tunamshukuru MUNGU kwa Jina la BWANA wetu YESU KRISTO kwa Neema na Rehema na Upendo Mkubwa sana tuliopokea toka kwa BABA yetu MUNGU kwa kipindi hiki cha Maombi na Mafundisho na Mfungo, MUNGU BABA anatupenda sana, YESU BWANA wetu anatupenda sana, ni MAMBO MAKUU katika Majira haya Ametaka Tuyafahamu na Tuyapokee na Tufunguliwe na Tuwekwe Huru na tutoke Utoto tuwe WANA WA MUNGU, YESU BWANA wetu Tunakupenda, MUNGU BABA yetu Tunakupenda, ROHO MTAKATIFU MUNGU Tunakupenda... Oooh SIFA na UTUKUFU na HESHIMA Twakupa WEWE BABA, Asante.

Bado Masaa... MUNGU wetu na BWANA wetu YESU KRISTO wamemwagiza Mtumishi wa MUNGU Mkalimani wetu Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Mambo Makubwa na Makuu kwa ajili ya Ibada ya Kesho Jumamosi, MUNGU wetu MKUU Anataka kuonyesha Upendo wake MKUU kwetu, Amefurahi nasi katika Mafundisho haya na Maombi haya katika Mwezi wetu huu wa Mfungo, USIJICHAFUE Moyo wako Mwana wa MUNGU, Kuwa SAFI, Endelea kuandaa MOYO WAKO, YESU wetu ANATUPENDA SANA, Uwe tayari Umuone kesho...Haleluya.

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image

Naibariki Alhamisi yangu!

Image

Je unaandaa Moyo wako kwa ajili ya Kukutana na BWANA siku ya Jumamosi kwenye Hitimisho la Mwezi wetu huu wa Mafundisho na Maombi? Maombi ya jana tarehe 29.5.2014; Ombi la Kwanza: Nguvu itakayo tupeleka mahali pajuu (ROHO WA KUMCHA BWANA). Ombi la Pili : Nguvu inanipa kujengwa ( ROHO WA SHAURI). Ombi la Tatu: Nguvu ya Mungu itakayo tuwezesha kupata matarajio yetu (ROHO WA KUMCHA BWANA). Imani yako inakwenda na Ibada, unahitaji ROHO wa kumcha BWANA ili ufikie matarajio yako. Watu ambao hawajaokoka wanafanya matambiko wanatoa watoto wao na binti zao sadaka kwa mashetani. LEO TUNA MWAMBIA MUNGU WETU TUMEKUBALI KUMUABUDU YEYE MUNGU WA KWELI.

Nguvu Ya Mungu!!

Image

Naibariki Jumatano Yangu!

Image

POKEA SIFA BWANA, Pokea Sifa BWANA, HESHIMA UTUKUFU Twakupa WEWE, POKEA SIFA BWANA, BABA POKEA, Oooooh ni Raha kumuimbia na Kumsifu MUNGU WETU MKUU BABA YETU, YEYE Anatupenda, Anatuwazia Mema, Asante BABA, Asante MUNGU wetu MKUU, Tunakupenda BABA, Tunakupenda.

Image

Naibariki Jumanne Yangu!

Image

Example; You are working in a street that your fellow business men have buried charms, beside you there is a witchdoctor, others have genies in their businesses or at your work place, your colleagues have bathed using charms and rely on the power of darkness. Do you really think you can survive in that environment without the power of GOD, will you work peacefully? You need to enter into such places with the SCENT of ā€˜THE POWER OF GODā€™. The Bible says that Joseph went to Potipharā€™s home and in him, he had the Power of GOD and this caused prosperity in the house of Potiphar. Potiphar understood that it was because of Joseph; it did not end there, He was taken to prison and he was still seen as different; Listen: A PERSON HOLDING THE POWER OF GOD CAUSES PROSPERITY ANY WHERE HE GOES, HE DOES NOT CAUSE FAILURE. Understand that, if you see failure know that you are spiritually handicapped. Do not let the company you work for collapse for you are there. Does your family or community know that your being has brought support to them? Being SAVED is grace that allows you to use what is GODS house. Being born again is a pass that allows you enter anywhere; it also allows you to use anything/ want anything from GOD and get it. Being saved is not only a ticket to get to heaven but use what is GODā€™s. Some people wish to leave quickly to heaven; donā€™t run from demons, fight until it salutes you. Salvation is not a bush to hide from Satanā€™s arrows, Listen; SALVATION IS A FORM OF POWER THAT MAKES THE DEVIL RUN FRON YOUR PRESENCE. Tell him that, you locked me up for a long time, now it is my time to do the same to you. If the power of God transformed Saul to Paul, arenā€™t you more? The power of God is greater than any witchcraft. The bible says, ā€œWhoever fades away in time of trouble/ triumph, his/ her power of less. The power of God is an essential part for those who want to go to heaven, for in the rapture there will be no plane to transport us; we shall leave by the aid of the power of GOD in us. So with no power, how shall this happen? What is strange is that the children of GOD are still full of doubt about the great things GOD does. It is because of this, GOD does less, so that they may not compare GOD with genies. Example, in the book of Acts, Peter is thrown in jail and as they continue in prayer He comes to where they were praying since an Angel of the Lord had set him free; they deny that itā€™s not Peter.: Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Image
Huu ni Mwaka wa Kibali inakupasa kutafuta kondoo na kuwa kama Paulo, aliwavuna wasomi tamani na wewe upate mtu wa kumlea katika wokovu mpaka asimame... Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira akiwa Ibadani Madhabahuni katika Kumuadhimisha na Kumtukuza na Kumuinua MUNGU wetu MKUU

Kwaya ya "Efatha Ministry Mass Choir" Mwenge Dar es Salaam, wakiwa katika Kumuinua na Kumtukuza na Kumuabudu na Kumchezea YEYE aliye BWANA na MUNGU wetu MKUU jana Ibadani.

Image

YESU anakupenda! kama mimi alinipenda na akaniambia nimtumikie na mimi nikasema nina dhambi akaniuliza nani kakwambia una dhambi?.ā€¦.mnajijua kwamba mna dhambi basi ujue YESU anakupenda sana pamoja na dhambi zako. Huu ni Mwaka wa Kibali inakupasa kutafuta kondoo na kuwa kama Paulo, aliwavuna wasomi tamani na wewe upate mtu wa kumlea katika wokovu mpaka asimame. YESU alifuatwa na watu wengi sana lakini alitembelea nyumba chache za wasomi, kwahiyo tunaenda kulingana na elimu yako. Kila mtu avune onyesha umekuwa mwanzo, Biblia inasema jaribuni mambo yote. Onyesha ushuhuda wako uwe wa thamani na onyesha kwamba umekuwa Kiroho, kama unakaa Mikocheni gonga geti nyumba ya pili ambayo imefungwa geti kama la kwako fanya kitu kitakachofanya MUNGU ajue una akili. Kwani tuna Roho ya Ufahamu basi wote tuwe na akili ya MUNGU tunatakiwa kuona nani ameelewa, embu panda kiwango kidogo katika utumishi wako( try to make a standard )..... (Sehemu ya Mahubiri ya Ibada ya Jana tarehe 25.5.2014 Efatha Ministry Mwenge na Mtuymishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) Ibada zilikuwa nzuri sana katika Makanisa yote ya Efatha Ministry ndani na nje ya Tanzazania, maana zile ROHO ZA SABA na NGUVU YA MUNGU Imo ndani yeu,Ooooh ASANTE YESU, Tunakupenda BWANA Haleluya.

Naibariki Jumatatu Yangu!!

Image

Haleluyah!!

Image

UTUKUFU na UKUU na MAMLAKA ni kwa YEYE aliye BWANA na MUNGU wetu MKUU, SIFA na HESHIMA ni zake, Tunamuabudu Asubuhi hii na Kumtukuza tunamwambia BABA Asante, Asante kwa asubuhi hii njema na nzuri, yenye Rehema na Neema na Baraka tele, Wewe ni MUNGU wetu, Wewe ni BABA yetu Asante, TUNAKUPENDA MUNGU wetu, Tunakupenda, Wewe ni ALFA & OMEGA, MWANZO & MWISHO, Tunakutuza MUNGU wetu, Haleluya... Asubuhi njema imewadia na Wana Efatha tunakimbilia Madhabahuni mwa BWANA MUNGU wetu, Hemani mwa BWANA tayari kwa ajili ya Ibada yenye Utukufu wa MUNGU na MAFUNDISHO yenye Uwepo na Nguvu ya MUNGU, Tayari kwa ajili ya Upendo wa BWANA wetu YESU KRISTO kututoa Utotoni na Kutupeleka kwenye UWANA, WANA WA MUNGU, Haleluya; YESU YESU YESU TUNAKUPENDA BWANA, TUNAKUPENDA, Asante BWANA, Asante, Uwe nasi Siku ya Leo, Usimpite hata mmoja BWANA Haleluya, ROHO MTAKATIFU MUNGU Uwepo wako, Uongozi wako ndani yetu Ukatawale ili Tukapokee kile ambacho BABA kupitia Mtumishi wake Mwaminifu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Amekusudia, Asante ROHO MTAKATIFU MUNGU Asante Tunakupenda, Amen. (Ibada hii italushwa Live kupitia kituo chetu cha Television TRENET via Satelite, pamoja na kwenye kingamuzi cha TING, na tutakuwa tunawaletea baadhi ya dokezo au matukio yatakayokuwa yanaendelea Ibadani hapa kwenye Page yetu ya Efatha Ministry, MUNGU Akawabariki, na muwe tayari kupokea kwa Moyo mmoja, Mbarikiwe.)

Naibariki Jumamosi Yangu!!

Image

AINA ZA NGUVU Zipo aina 3 kubwa za Nguvu 1. Nguvu ya MUNGU 2. Nguvu ya uovu 3. Nguvu ya asili Katika hizi ni Nguvu ya MUNGU tu ndiyo inaweza kumuwezeshta mtu kufanya mambo Makuu, jifunze kubaini nguvu ipi inatumika. Kuna Nguvu ya MUNGU na nguvu ya uovu huwezi kujua nguvu ya uovu mpaka uwe na Nguvu ya MUNGU, masikini hawezi kujua uzuri wa utajiri bila kujua Nguvu ya Utajiri. Naamini ninyi wanangu mmeshapata Nguvu ya MUNGU, huo ni ufunguo wa kuingia sasa tafuta kuijua zaidi. Nguvu ya uovu siku zote inafanya kazi ya uharibifu, Zab:92: 7,9. Kumbuka kuna kizazi cha uovu ambacho kinatumia uovu, na kizazi cha dunia ambacho kinatumia nguvu ya dunia pia kuna kizazi cha wana wa MUNGU ambao wanatumia Nguvu ya MUNGU, ukiwa katika kizazi cha MUNGU hakikisha unatumia hii Nguvu ya MUNGU. Haya ndiyo mambo ya msingi sana kuyafahamu acha kulialia. Nguvu ya asili hii tunayo lakini na yenyewe inatoka kwa MUNGU. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU itakusaidia kumaliza matatizo yako, wewe mwenyewe huwezi, ukiangalia watu wengi tumetoka katika familia zilizochoka, taka Nguvu ya MUNGU. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU unaweza kuamrisha chochote na kikakufuata. Nguvu ya MUNGU ni ya muhimu sana kwa sababu inakutoa mahali pa uchache na kukupeleka mahali pa utele. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU umasikini usahau, hata wabaya wakikufuata wanapigwa na hiyo Nguvu au umasikini ukikufuata unapigwa, uwe mjanja katika kupata Nguvu ya MUNGU, Nguvu ya MUNGU haipo tu kwa ajiri ya kufukuza pepo. Maisha yangu mimi Josephat ni Ushuhuda tosha, nilikuwa na tshirt moja imeandikwa pepsi, suruari moja, nguo ya ndani moja. Bibilia inasema ā€œwenye dhambi wanatutwa na kutweka kwa ajiri ya wenye Hakiā€ Nguvu ya MUNGU unaweza kukusababisha utoke katika mateso na machungu yanayokutesa. Unachohitaji si pesa, si ada wala mtaji unahitaji Nguvu ya MUNGU. Nguvu ya MUNGU ndiyo itakayowekea msukumo kwa watu kukuletea zawadi. Nguvu ya MUNGU inakutoa kunako ujinga, matatizo na mateso. Huwezi kufanikiwa kwa porojo taka Nguvu ya MUNGU ikutoe kwa gharama yoyote. Ukitaka muujiza wa pesa jifunze kutoa kwa waliofanikiwa, unaweza kuitumia Nguvu ya MUNGU kuhamisha ufukara kabisa katika ukoo wako, Nguvu ya MUNGU ni kwa ajiri ya kukufanya uishi vizuri. Mithali 8:17 -21 (Nawapenda wale wanipendaoā€¦) Ahadi ya MUNGU kwa wale wampendao ni mali si mali tu na kujaza hazina kwenye mifuko yao. MUNGU hafurahi kuona watoto wake hata sasa wanatembea katika shida! Sema hivi; ā€œMUNGU NIPE KUTAMBUA UMUHIMU WA KUWA NA NGUVU YAKO KATIKA MAISHA YA WOKOVU WANGUā€ Katika wafalme ambao walizidishiwa Nguvu ni mfalme Sulemani, wakati wa Daudi baba yake hakuna vita hata moja iliyomshinda Daudi kwa sababu ya Nguvu ya MUNGU. Amina. :Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

MAOMBI YA JANA (tarehe 21 May 2014) OMBA HIVI. 1. i) Uweke Mkataba/Agano na YESU KRISTO BWANA wetu, kisitokee chochote cha kukutenganisha, lazima kieleweke vyoyote itakayo kuwa lazima uingie mbinguni. Mkatabaka/Agano lako liwe katika NGUVU TATU (katika Damu ya YESU KRISTO, NENO LA MUNGU na JINA LA YESU KRISTO) Nguvu ya UWEZESHO iwe katika Hizi NGUVU TATU. ii) Mkimbize shetani ukiwa pamoja na YESU KRISTO BWANA wetu mpaka shimoni kuzimu. 2. Nitashinda kila upinzani na kila pingamizi kwa sababu nina NGUVU YA MUNGU. ANGALIZO: Hakikisha Mwana wa MUNGU Mwana EFATHA unakuja Kanisani kuhudhuria Ibada za Mafundisho na Maombi yanayoendelea kila siku katika Makanisa yote Efatha Ministry ndani na nje ya Tanzania, hakikisha unapata Maombi toka kwa Cell leader wako au Askofu wako kama hukudhuria Ibadani.

Naibariki Alhamisi Yangu!

Image

SPIRIT OF WISDOM The Spirit of Wisdom makes you have important speeches and actions. Eph 5:15-16ā€¦ (15 Wherefore I also, after I heard of your faith in the Lord Jesus, and love unto all the saints, 16 Cease not to give thanks for you, making mention of you in my prayers;) a person wasting time is one without wisdom for wisdom helps you to utilize your time, Time always reduces, and this either makes you attain wealth or poverty. Prov 16:1 (1 the preparations of the heart in man, and the answer of the tongue, is from the LORD) When you speak wisely, the LORD will come in between and aid you, but if speak stupidly, the LORD will judges your words; be watchful on the words you utter. You can never give a good speech if you do not have wisdom. In this prayer time, GOD will answer your prayers in accordance to how you speak; HE will check to see whether you prayed wisely. Example: - You pray that your husband may become born again (Saved), but on getting home, your behavior towards your husband is not of a wise person. Prov 16:9ā€¦ (The heart of man plans his way, but the LORD establishes his steps) The mouth of a King is full of wisdom. In order for you to succeed, you need wisdom to get you there. If you see someone succeeding in his/ her business, know that the wisdom of GOD is with him/ her. In your ministry, pray for wisdom; whether you are Pastor, Bishop or Cell leader. In order for your duties to go smoothly and successfully, you really need GODā€S wisdom. If you want to have an increase, GOD has to be in the lead. Wisdom is necessary for progress to be seen. For you to succeed, you need GODā€™s wisdom for there are many traps laid to trap you in this world, and without GOD, you are incapable of anything. : Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Jumatano Yangu!

Image

AINA ZA NGUVU Zipo aina 3 kubwa za Nguvu 1. Nguvu ya MUNGU 2. Nguvu ya uovu 3. Nguvu ya asili Katika hizi ni Nguvu ya MUNGU tu ndiyo inaweza kumuwezeshta mtu kufanya mambo Makuu, jifunze kubaini nguvu ipi inatumika. Kuna Nguvu ya MUNGU na nguvu ya uovu huwezi kujua nguvu ya uovu mpaka uwe na Nguvu ya MUNGU, masikini hawezi kujua uzuri wa utajiri bila kujua Nguvu ya Utajiri. Naamini ninyi wanangu mmeshapata Nguvu ya MUNGU, huo ni ufunguo wa kuingia sasa tafuta kuijua zaidi. Nguvu ya uovu siku zote inafanya kazi ya uharibifu, Zab:92: 7,9. Kumbuka kuna kizazi cha uovu ambacho kinatumia uovu, na kizazi cha dunia ambacho kinatumia nguvu ya dunia pia kuna kizazi cha wana wa MUNGU ambao wanatumia Nguvu ya MUNGU, ukiwa katika kizazi cha MUNGU hakikisha unatumia hii Nguvu ya MUNGU. Haya ndiyo mambo ya msingi sana kuyafahamu acha kulialia. Nguvu ya asili hii tunayo lakini na yenyewe inatoka kwa MUNGU. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU itakusaidia kumaliza matatizo yako, wewe mwenyewe huwezi, ukiangalia watu wengi tumetoka katika familia zilizochoka, taka Nguvu ya MUNGU. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU unaweza kuamrisha chochote na kikakufuata. Nguvu ya MUNGU ni ya muhimu sana kwa sababu inakutoa mahali pa uchache na kukupeleka mahali pa utele. Ukiwa na Nguvu ya MUNGU umasikini usahau, hata wabaya wakikufuata wanapigwa na hiyo Nguvu au umasikini ukikufuata unapigwa, uwe mjanja katika kupata Nguvu ya MUNGU, Nguvu ya MUNGU haipo tu kwa ajiri ya kufukuza pepo. Maisha yangu mimi Josephat ni Ushuhuda tosha, nilikuwa na tshirt moja imeandikwa pepsi, suruari moja, nguo ya ndani moja. Bibilia inasema ā€œwenye dhambi wanatutwa na kutweka kwa ajiri ya wenye Hakiā€ Nguvu ya MUNGU unaweza kukusababisha utoke katika mateso na machungu yanayokutesa. Unachohitaji si pesa, si ada wala mtaji unahitaji Nguvu ya MUNGU. Nguvu ya MUNGU ndiyo itakayowekea msukumo kwa watu kukuletea zawadi. Nguvu ya MUNGU inakutoa kunako ujinga, matatizo na mateso. Huwezi kufanikiwa kwa porojo taka Nguvu ya MUNGU ikutoe kwa gharama yoyote. Ukitaka muujiza wa pesa jifunze kutoa kwa waliofanikiwa, unaweza kuitumia Nguvu ya MUNGU kuhamisha ufukara kabisa katika ukoo wako, Nguvu ya MUNGU ni kwa ajiri ya kukufanya uishi vizuri. Mithali 8:17 -21 (Nawapenda wale wanipendaoā€¦) Ahadi ya MUNGU kwa wale wampendao ni mali si mali tu na kujaza hazina kwenye mifuko yao. MUNGU hafurahi kuona watoto wake hata sasa wanatembea katika shida! Sema hivi; ā€œMUNGU NIPE KUTAMBUA UMUHIMU WA KUWA NA NGUVU YAKO KATIKA MAISHA YA WOKOVU WANGUā€ Katika wafalme ambao walizidishiwa Nguvu ni mfalme Sulemani, wakati wa Daudi baba yake hakuna vita hata moja iliyomshinda Daudi kwa sababu ya Nguvu ya MUNGU. Amina. :Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

ROHO WA HEKIMA

Tulipata kibali kupitia Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat E Mwingira kuomba roho tofauti za MUNGU,tushirikiane kuzifahamu hizo roho.Bwana Yesu atusaidie. Roho ya Hekima inakupa: Inakupa kutenda na kusema mambo ya maana. Efeso 5:15,16 (basi angallieni sanaā€¦. Mkiukomboa wakati) mtu anaepoteza muda ni Yule asiye na Hekima, ukiwa na Hekima inakusaidia kutumia muda vizuri maana muda hauongezeki bali unapungua maana siku hadi siku inakuruhusu Utajiri uingie kwako au umasikini uingie kwako. Meth 16:1ā€¦.(Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu bali jawabu la ulimi hutoka kwa MUNGUā€¦) unavyoongea maneno yenye Hekima MUNGU anaingilia na kukusaidia, ukinena upumbavu MUNGU anayahukumu kwa hiyo angalia sana maneno unayoyanena, huwezi kunena vizuri kama huna Hekima, muda wote huu wa maombi MUNGU atakujibu sawasawa na ulivyo nena lakini ataangalia uliomba kwa Hekima? Mfano:- Umeomba mume wako aokoke lakini ukienda nyumbani unafanya yasiyo na hekima kwa mume wako! Meth 16:9ā€¦ kinywa cha mfal...

Walk of the God with those he is Consented with!!

Image

The thing that is oppressing you is sin. There are various types of sin; they include evil thoughts, evil speech and evil actions. What do you utter or what are your daily actions? Do this math; in one day, have your thoughts agreed with the promises of GOD? And if not in acceptance with the word of GOD, then that is a sin. Gen 6: (the thoughts of man are always evil) Tell GOD that, ā€œHelp me achieve all that you have prepared for meā€ as you go to church. Be determined to get rid of all bad thoughts, and then go to church. You might have not physically assaulted someone or killed someone, but in your heart, you have killed and thought badly.: Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Jumanne Yangu!

Image

Naibariki Jumatatu Yangu!

Image

Hearing and seeing gives you repentance. GOD is not interested with how many sins you have committed but, do you understand whether you have DONE WRONG? Let us not have so much verbosity, that, ā€œI am not learnedā€; the problem is not your lack of education but the fact that, ā€œDo you know what you are supposed to do?ā€ The purpose this period of prayer and fasting is for us to hear and see, so that we may get to REPENTANCE which will give us Knowledge. Repentance gives you a clean HEART. Once you have a clean heart, you get closer to GOD, and HE then gives you (1 Cor 2:9ā€¦ ā€œBut as it is written, Eye hath not seen, nor ear heard, neither have entered into the heart of man, the things which God hath prepared for them that love him.) So, GOD has prepared all you need, then why are you stuck? : Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Jumamosi Yangu!

Image

ROHO YA UFAHAMU Roho ya UFAHAMU inaenda pamoja na Roho ya HEKIMA. Inakupa kujua yaliyopita na yaliopo, inakusaidia usiishi kwa mazingira yanayokuzunguka au yaliyokuzunguka bali vile MUNGU anavyokuona, kupitia Ufahamu unaweza kujua juu ya familia yako na uzao wako. Unaweza tu ukazuia mambo yaliopo kwa kupitia Ufahamu, Hekima Ufahamu unakupa KUPONYEKA, kama umetoka katika jamii iliyopitia maumivu ili uweze KUPONYEKA unahitaji UFAHAMU. Rumi 1:28-29 Unapokosa Ufahamu MUNGU anakutelekeza, unaporuhusu Ufahamu kuingia kwako MUNGU anakusogelea ndio maana anasema wale wasio na Ufahamu wanakwenda kwa akili zao, walio na Ufahamu wanakwenda kwa Hekima na hapa ndipo Roho ya MUNGU anachukua nafasi kuwaongoza. Hata kiongozi wa Kiroho ni MZAZI wako kwa hiyo kama una Hekima UTAMUHESHIMU haijarishi yukoje, lakini wasio na Ufahamu watakwenda kwa akili zao na hapo zinawapa kutokuwa na Heshima. : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Mambo ambayo MUNGU wetu MKUU ametuandalia; ROHO YA SHAURI ; Inakupa neema ya kutengeneza. Mfano; unatamani kujenga nyumba ROHO ya Ufahamu inakuonyesha eneo zuri, namna gani na ujenge wapi, ROHO ya Shauri inakucholea ramani ya hiyo nyumba ujengeje vipi halafu Roho ya Uweza inakuwezesha kujenga/wapi upate pesa, ROHO ya Uweza inakupa pesa na vingine vinavyohitajika. : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY (Baadhi ya mafundisho toka Ibadani jana)

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image

MAFUNDISHO Kutoka katika Mwezi wetu wa Maombi na Kufunga: (Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, "MTEMBEO WA MUNGU kwa hao Aliowaridhia") ROHO SABA ZA MUNGU Ukitaka kuelewa kitabu hiki; ā€¢ Uwe na SIKIO la kusikia ili uweze kuona makusudi ya MUNGU, MUNGU akishaona unasikia anakupa MACHO ya kuona. Ulifikia TOBA kwa sababu ulikuwa na sikio la kusikia, ukishasikia unapata ile Neema ya kuona kupitia kuona tunatiwa Ufahamu. Rumi 1:1ā€¦(kama walivyokataa kuwa na MUNGU, MUNGU aliwaacha) Bibilia inasema ā€˜sikio na macho vyote vinatoka kwa MUNGUā€™, hapa anamaanisha kwamba ili usikie au ili uone unahitaji msaada wa MUNGU ukisema MUNGU hajakusikia si kweli maana wewe una Neema ya kuokoka hilo tu linamaanisha unamsaada wa MUNGU. Kusikia na kuona kunakusaidia kufikia toba, unapoendelea kusikia kupitia mafundisho utafikia toba na toba inakupa kibali cha kumuona MUNGU na anaposema kusikia Neno lake na kuona matendo yake ndiyo maana Isaya aliona na kutubu akasema ā€˜ole wangu mimi maana ninakaa katikati ya watu wenye midomo michafuā€™. Tatizo sio shetani ni maneno ya midomo yetu. Rumi 10:10 (kwa Kinywa mtu hukiri hata kufikia WOKOVU) ā€¢ Kusikia na Kuona kunakupa toba; MUNGU hana shida ya dhambi ulizofanya ni ngapi lakini je umeelewa kwamba UMEKOSEA? tusiwe na maneno mengi mara ā€˜kwa sababu mimi sijasomaā€™ tatizo sio kutosoma tatizo umeelewa unachotakiwa kufanya? ā€¢ Muda huu wa kufunga na kuomba ukweli ni kwamba, lengo ni Kusikia na Kuona na kisha tufikie TOBA na Toba itupe Ufahamu. ā€¢ Toba inakupa MOYO safi, ukishaafikia mahali pa Moyo safi unamkaribia MUNGU naye anakupa. 1Kor 2:9 (macho hayajawahi kuonaā€¦.) kumbe kuna kila kitu MUNGU amekuandalia je kwa nini unakwama? Kinachotutesa ni dhambi, zipo dhambi za kuwaza, kunena na kutenda, Je wewe unanena nini au unatenda nini katika maisha yako? Ebu fanya hesabu katika mawazo yako katika siku moja je mawazo yako yanakubaliana na ahadi za MUNGU na kama hayakubaliani na maneno ya MUNGU hiyo ni dhambi au kufanya jambo ambalo halikubaliani na mawazo ya MUNGU ni dhambi. Mwanzo 6: (mwanadamu mawazo anayowaza siku zote ni mawazo mabaya) Mwambie MUNGU yale uliyoniandalia nisaidie kuyafikia unapokwenda Kanisani, jitahidi kuondoa mawazo yoyote mabaya kisha nenda Kanisani. Jifunze kuishi kwa toba unaweza usipige mtu au usiuwe mtu lakini moyoni umeshajipiga na umesha uwa kwa kumuwazia mabaya!.

Naibariki Alhamisi Yangu!

Image

The month of May!

Image

Naibariki Jumatano Yangu!

Image

Naibariki Jumanne Yangu!

Image

Naibariki Jumatatu yangu!

Image

Colosian 2:15 And having spoiled principalities and powers, he made a shew of them openly, triumphing over them in it.SWAHILI:Akiisha kuzivua enzi na mamlaka,na kuzifanya kuwa Mkogo kwa ujasiri,akizishangilia katika msalaba. Yesu alikuja ili kutubadilisha, alikuja kushughulikia zile desturi na tabia zilizotufanya tuwe chukizo mbele za mungu.Dhambi zetu,Aibu yetu,kushindwa,kukataa Tamaa,magonjwa,kudharauliwa, vitu vyote vilivyotufanya tusimpendeze mungu, akazichukua akazigongomelea msalabani, kwa ushindi na hapo tukawekwa huru.Alimvua shetani mamlaka akayashusha chini ya miguu yake..kwa ajili yangu na wewe.Kwa hivo Tunao ushindi maana shetani ameshashindwa. sasa ni sisi kukiri positive na sio negative. Maana tunayo mamlaka. Mchungaji Betson Kikoti Efatha Ministry Nairobi!

Image

Wana wa mungu ni Jumapili Njema siku ya leo iliyobarikiwa na mungu wetu, Amka na Jamaa yako yote tukamwabudu mungu wetu,tumsifu mungu na tumtolee, maana Anasema ni wewe aliyefurahishwa na wewe, wewe uliyempa nafasi katika maisha yako. Ubarikiwe na uwe na siku njema.

Image

Mwezi wa kufunga na wa maombi "MAY" kwa wana efatha wote Duniani!

Image

Naibariki Jumamosi Yangu!

Image

Mtoto mpotevu aliporudi, alijiuliza kwanini nile na nguruwe, alirudi kwa baba yake, baba yake alimpokea kwa furaha zaidi. Sisi ambao tumeitwa Wana wa Imani lazima tuwabebe watu wasio na Imani tuwapende na tufanye kazi ya kuwaombea. Jinsi tunavyoendelea KUOMBA katika mwezi huu wa Maombi ndivyo MUNGU anavyozidi kutuinua na kuona MKONO wake na Machungu ya Watoto YATAISHA, machungu ya Wazazi YATAISHA, machungu ya maisha magumu YATAISHA, maana kutakuwa na FURAHA YA KUFURAHISHA. Najua siku ile ikifika utamwambia Mtumishi wa MUNGU asante kwa KUNIOMBEA, asante kwa KUNIONYA, asante kwa KUNIBEBA, leo unaona kama NAKUKOSEA lakini ile siku ikifika utasema ASANTE kwa kuniombea. : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image

Mtembeo!! hakikisha unakisoma hiki kitabu mwana wa mungu!

Image

MWANGAZA WAKO HAUTAZIMIKA,Utukufu wako hautaharibiwa, Hakuna wakuziba njia yako wala Nyuma yako hakutakuwa na wakukuvuta.kwa sababu , ni wakatii wa mungu mwenyewe kukutukuza! HALELUYAH!

NAIBARIKI JUMATANO YANGU AMEN!

Image

Kinachowatesa watu wengi waliookoka ni kushikilia habari za zamani. Katika watu mia (100) utakaongea nao kwa habari ya wokovu wao, labda ni mmoja atatokea kukueleza habari zake zijazo. Waliobaki tisini na tisa (99) watakueleza habari za yaliyowakuta. Je mtu anayetembea na habari za nyuma atafika anakokwenda? : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Jumanne yangu!

Image

MWEZI WA MAOMBI NA KUFUNGA 2014: Mwezi wa tano ni mwezi wetu Wana wa MUNGU wana Efatha wa Kufunga na Kuomba, tunamshukuru BWANA na MUNGU wetu MKUU kwa Neema kubwa hii aliyotujalia wanawe, leo ni Siku ya Kwanza ya Maombi na Kufunga kwetu kwa BWANA kwa Wana Efatha wote ndani na nje ya Tanzania, maombi yalikukwa mazuri na matamu na Uwepo wa NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ilitawala, kesho tunaendelea kama kawaida jioni saa kumi Maombi Kanisani, USIKOSE Mwana wa MUNGU, Ubarikiwe. (Pichani: Mchungaji wa Eneo la Nazareth Mch. Mdadila akifungua Ibada ya Maombi, Kanisani Efatha Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, picha zingine zinaonyesha Idadi ya watu wengi waliofika Ibadani kwa ajili ya kuanza Maombi katika Mwezi wetu huu wa May/2014.

Image

Naibariki Ijumaa Yangu!!

Image

TUACHE KUFANYA TABIA ZISIZO MPENDEZA MUNGU: Vivyo hivyo tabia mbaya malipo yake ni laana. Mfano, Wana wa Israel walimwasi BWANA kwa kukataa kushika tabia ambayo waliagizwa watembee nayo matokeo yake wakashambuliwa na kushindwa vita. Tunasoma; ā€œIkawa ulipothibitika ufalme wa Rehoboamu, naye amepata nguvu, aliiacha torati ya BWANA, na Israel wote pamoja naye. Ikawa katika mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki mfalme wa Misri juu ya Yerusalemu; kwa kuwa walikuwa wamemwasi BWANA; mwenye magari elfu na mia mbili, na wapanda farasi sitini elfu; na watu wasiohesabika waliotoka Misri pamoja naye; Walubi na Wasukii na Wakushi. Akaitwaa miji yenye maboma iliyokuwa ya Yuda akaja Yerusalemu.ā€ II Nyakati 12:1-4 (b) Vyanzo vya Tabia Vyanzo vikuu vitatu vya tabia ya mtu ni; Tabia ya kuzaliwa; Tabia ya malezi na Tabia ya kujifunza.....:Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. (Itaendelea kesho, Usikose Mwana wa MUNGU, NEEMA YAKO HII)

SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA: Honolio Nkono kutoka Goba Eneo la Upendo ; ā€œMwaka jana mwezi wa kumi (10/2013) nilipata mjukuu ambaye anaitwa Angel nilianza kumpa uji wa ngano akabadilika watu wakasema mjukuu wako unampa nini? nikawa nawaeleza kwa habari ya unga wa ngano wa Efatha unaolimwa katika Shamba la Efatha Heritage Farm; kwa wale wasio na na uzito unaongezeka na kwa wale uzito umezidi unapungua. Kuna mama mtoto wake alikuwa hana afya nzuri na vidonda vingi, nikampa unga wa ngano mtoto akawa na afya. Pia wiki mbili zilizopita nilikwenda kwa ndugu yangu mtoto wake alikuwa anaumwa nikampa ngano na sasa amepona. Pia siku Baba (Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) alifundisha somo la KUTOKA, mume wangu akatoka akaenda mkoani kufanya biashara na MUNGU amenibariki amefungua biashara inaendelea vizuri.ā€

Image

Naibariki Alhamisi Yangu!

Image