Colosian 2:15 And having spoiled principalities and powers, he made a shew of them openly, triumphing over them in it.SWAHILI:Akiisha kuzivua enzi na mamlaka,na kuzifanya kuwa Mkogo kwa ujasiri,akizishangilia katika msalaba. Yesu alikuja ili kutubadilisha, alikuja kushughulikia zile desturi na tabia zilizotufanya tuwe chukizo mbele za mungu.Dhambi zetu,Aibu yetu,kushindwa,kukataa Tamaa,magonjwa,kudharauliwa, vitu vyote vilivyotufanya tusimpendeze mungu, akazichukua akazigongomelea msalabani, kwa ushindi na hapo tukawekwa huru.Alimvua shetani mamlaka akayashusha chini ya miguu yake..kwa ajili yangu na wewe.Kwa hivo Tunao ushindi maana shetani ameshashindwa. sasa ni sisi kukiri positive na sio negative. Maana tunayo mamlaka. Mchungaji Betson Kikoti Efatha Ministry Nairobi!


Comments