SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA: Honolio Nkono kutoka Goba Eneo la Upendo ; “Mwaka jana mwezi wa kumi (10/2013) nilipata mjukuu ambaye anaitwa Angel nilianza kumpa uji wa ngano akabadilika watu wakasema mjukuu wako unampa nini? nikawa nawaeleza kwa habari ya unga wa ngano wa Efatha unaolimwa katika Shamba la Efatha Heritage Farm; kwa wale wasio na na uzito unaongezeka na kwa wale uzito umezidi unapungua. Kuna mama mtoto wake alikuwa hana afya nzuri na vidonda vingi, nikampa unga wa ngano mtoto akawa na afya. Pia wiki mbili zilizopita nilikwenda kwa ndugu yangu mtoto wake alikuwa anaumwa nikampa ngano na sasa amepona. Pia siku Baba (Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) alifundisha somo la KUTOKA, mume wangu akatoka akaenda mkoani kufanya biashara na MUNGU amenibariki amefungua biashara inaendelea vizuri.”

Photo: SHUHUDA SHUHUDA SHUHUDA:

Honolio  Nkono kutoka Goba Eneo la Upendo ; “Mwaka jana mwezi wa kumi (10/2013) nilipata mjukuu ambaye anaitwa Angel nilianza kumpa uji wa ngano akabadilika  watu wakasema mjukuu wako unampa nini? nikawa nawaeleza kwa habari ya unga wa ngano  wa Efatha unaolimwa katika Shamba la Efatha Heritage Farm; kwa wale wasio na na uzito unaongezeka na kwa wale uzito umezidi unapungua. Kuna mama mtoto wake  alikuwa hana afya nzuri na vidonda vingi, nikampa unga wa ngano mtoto akawa na afya. 

Pia wiki mbili zilizopita nilikwenda kwa ndugu yangu mtoto wake alikuwa anaumwa nikampa ngano na sasa amepona.  Pia siku Baba (Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira) alifundisha somo la KUTOKA, mume wangu akatoka akaenda  mkoani kufanya biashara na MUNGU amenibariki amefungua biashara inaendelea vizuri.”

Comments