MWEZI WA MAOMBI NA KUFUNGA 2014: Mwezi wa tano ni mwezi wetu Wana wa MUNGU wana Efatha wa Kufunga na Kuomba, tunamshukuru BWANA na MUNGU wetu MKUU kwa Neema kubwa hii aliyotujalia wanawe, leo ni Siku ya Kwanza ya Maombi na Kufunga kwetu kwa BWANA kwa Wana Efatha wote ndani na nje ya Tanzania, maombi yalikukwa mazuri na matamu na Uwepo wa NGUVU YA ROHO MTAKATIFU ilitawala, kesho tunaendelea kama kawaida jioni saa kumi Maombi Kanisani, USIKOSE Mwana wa MUNGU, Ubarikiwe. (Pichani: Mchungaji wa Eneo la Nazareth Mch. Mdadila akifungua Ibada ya Maombi, Kanisani Efatha Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, picha zingine zinaonyesha Idadi ya watu wengi waliofika Ibadani kwa ajili ya kuanza Maombi katika Mwezi wetu huu wa May/2014.

Comments