Je unaandaa Moyo wako kwa ajili ya Kukutana na BWANA siku ya Jumamosi kwenye Hitimisho la Mwezi wetu huu wa Mafundisho na Maombi? Maombi ya jana tarehe 29.5.2014; Ombi la Kwanza: Nguvu itakayo tupeleka mahali pajuu (ROHO WA KUMCHA BWANA). Ombi la Pili : Nguvu inanipa kujengwa ( ROHO WA SHAURI). Ombi la Tatu: Nguvu ya Mungu itakayo tuwezesha kupata matarajio yetu (ROHO WA KUMCHA BWANA). Imani yako inakwenda na Ibada, unahitaji ROHO wa kumcha BWANA ili ufikie matarajio yako. Watu ambao hawajaokoka wanafanya matambiko wanatoa watoto wao na binti zao sadaka kwa mashetani. LEO TUNA MWAMBIA MUNGU WETU TUMEKUBALI KUMUABUDU YEYE MUNGU WA KWELI.

Comments