Mambo ambayo MUNGU wetu MKUU ametuandalia; ROHO YA SHAURI ; Inakupa neema ya kutengeneza. Mfano; unatamani kujenga nyumba ROHO ya Ufahamu inakuonyesha eneo zuri, namna gani na ujenge wapi, ROHO ya Shauri inakucholea ramani ya hiyo nyumba ujengeje vipi halafu Roho ya Uweza inakuwezesha kujenga/wapi upate pesa, ROHO ya Uweza inakupa pesa na vingine vinavyohitajika. : Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY (Baadhi ya mafundisho toka Ibadani jana)

Comments