Bado Masaa... MUNGU wetu na BWANA wetu YESU KRISTO wamemwagiza Mtumishi wa MUNGU Mkalimani wetu Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Mambo Makubwa na Makuu kwa ajili ya Ibada ya Kesho Jumamosi, MUNGU wetu MKUU Anataka kuonyesha Upendo wake MKUU kwetu, Amefurahi nasi katika Mafundisho haya na Maombi haya katika Mwezi wetu huu wa Mfungo, USIJICHAFUE Moyo wako Mwana wa MUNGU, Kuwa SAFI, Endelea kuandaa MOYO WAKO, YESU wetu ANATUPENDA SANA, Uwe tayari Umuone kesho...Haleluya.

Comments