Haleluya, MUNGU wetu na BABA yetu ni Mzuri, YESU wetu ni Mzuri, ROHO MTAKATIFU MUNGU wetu ni Mzuri, Tunamshukuru MUNGU kwa Jina la BWANA wetu YESU KRISTO kwa Neema na Rehema na Upendo Mkubwa sana tuliopokea toka kwa BABA yetu MUNGU kwa kipindi hiki cha Maombi na Mafundisho na Mfungo, MUNGU BABA anatupenda sana, YESU BWANA wetu anatupenda sana, ni MAMBO MAKUU katika Majira haya Ametaka Tuyafahamu na Tuyapokee na Tufunguliwe na Tuwekwe Huru na tutoke Utoto tuwe WANA WA MUNGU, YESU BWANA wetu Tunakupenda, MUNGU BABA yetu Tunakupenda, ROHO MTAKATIFU MUNGU Tunakupenda... Oooh SIFA na UTUKUFU na HESHIMA Twakupa WEWE BABA, Asante.

Comments