Ephesians 1:7 "In whom we have redemption through his blood, the forgiveness of sins, according to the riches of his grace." The love of God has FORGIVENESS; Forgive those who did wrong unto you, seven times seventy times. No matter what they did unto you, forgive them since it is not for their benefit but for your own benefit. It is only in LOVE that there is forgiveness, outside of love, revenge is common. Do not forgive someone by counting the number of times he/she did wrong unto you; by doing so, God will not forgive you as well. Because if God counts the number of times you've done wrong against HIM, HE will not be able to forgive you since they are many. FORGIVE those who do wrong against you so that you may also be FORGIVEN. © Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira - EFATHA MINISTRY. # Translation Waefeso 1:7 “Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa Neema yake.” Pendo la Mu...
Posts
Showing posts from January, 2019
- Get link
- X
- Other Apps
Wana wa Israel ili waifikie nchi ya Ahadi ambayo Mungu aliwaahidi haikuwa rahisi, walikaa jangwani kwa muda wa miaka 40 walipitia vikwazo vya kila aina japo kuwa ulikuwa ni Unabii. Walipo ingia nchi ya Ahadi walikutana na mapambano na vita lakini ulikuwa ni Unabii. Watu wengi siku hizi hawapendi kujifunza au kusikia Neno la Mungu litakalo wasaidia wao kutenda sawa na Mapenzi Ya Mungu bali wanapenda kusikia Unabii tu, hivyo kuwasababisha kuhangaika huku na kule ili kutafuta U nabii. Unapaswa kujua kuwa Unabii upo ili kukutia moyo na kukuwezesha wewe kusonga mbele lakini si kukupa STAHIKI yako, Imani yako ndiyo itakufanya upokee STAHIKI yako kutoka kwa Mungu, kwa sababu Imani yako itakupa Tumaini la kungoja kile unacho kiamini mpaka kitakapo tokea. Tamani kujifunza Neno la Mungu litakalo kupa Imani na Tumaini la kungoja kile Mungu amekuahidi na si kusikia Unabii ambao hata ukichelewa kutimia kwako utakusababisha wewe kuhangaika huku na kule. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Jos...
- Get link
- X
- Other Apps
God loved man since the beginning, and HIS first promise unto man was BLESSINGS. Genesis 1:28 "And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth." Once you are poor, it does not make sense about which God you are serving; since it is a sign that you are closer to the devil than God who blesses. The WORD says that, "BE BLESSED" and not "face lack" and it further says that, "RULE" over each creature that has life; meaning that you should have dominion over everything. There is no poverty with God; what tortures lot of the saints is; "failure to recognize who they are in the Kingdom of God." There are people who have been saved for a long time but their lives are still miserable while in God there is plenty. Discern yourself about, who you are...
- Get link
- X
- Other Apps
From today death has been procrastinated until you FULFILL 120 years. From today, may God grant you to fulfill the days of your LIFE here on earth; sicknesses and accidents shall not change the plan of God unto your life. :- Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY). # Translation Kuanzia leo kifo kimepelekwa mbele mpaka utimize MIAKA 120. Kuanzia leo Mungu akakujalie kutimiza SIKU zako za kuishi duniani; magonjwa na ajali yasibadilishe utaratibu uliyowekewa na Mungu. :- Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).
- Get link
- X
- Other Apps
SUBJECT: BE REAL Never make yourself to be different from who you are, but be Real, Honest and Faithful. Acting different from how you are is an outcome of hypocrisy, that makes you portray an image which is different from the real you are. This act makes you to flatter so that you may be loved and receive favor before people. This is a character which does not please God since HE desires you to be just as HE created you. Be Real, because where you were born is real since you have the blood of those who gave birth unto you and you cannot change yourself. May be you were taught to deny yourself, thus you refused to discern yourself. God does not deal with people who don't know who they are. © Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. # Translation SOMO: UWE HALISI. Siku zote Usijifanye kuwa tofauti na ulivyo, bali uwe Mkweli, Mwadilifu na Mwaminifu. Hali ya kujifanya kinyume na ulivyo inatokana na unafiki na uongo alionao mtu, ili...
- Get link
- X
- Other Apps
You may see that some people go through hardship and a chaotic lifestyle whose source is not recognized, but once you observe the source of what they are going through; it is because they do not take hid on what they are instructed by their leaders. This makes them see that the pain that they are going through is part of life, but in this year of VICTORY desire to be different so that you may encounter what God has intended for you in this Year; agree to OBEY and follow the INSTRUCTIONS that you are instructed by your Leader, because by doing so, you are paving your way towards VICTORY within your Life. ©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. # Translation Unaweza kuona watu wengi wanapita kwenye misukosuko na maumivu makali ambayo hawaelewi kiini chake, lakini ukija kuangalia chanzo cha mateso yao ni kwa sababu HAWAZINGATII yale wanayoelekezwa na Viongozi wao. Inawasababishia waone maumivu wanayopitia ni sehemu ya Maisha...
- Get link
- X
- Other Apps
Ni vizuri ukaelewa namna ya kuwa MWANA halisi wa Mungu, unatakiwa kuishi maisha MATAKATIFU ili wakati wa hukumu usihukumiwe. Ni kweli ulizaliwa katika familia ya wanafiki, wezi, na waongo lakini unapookoka unatakiwa UJIFUNZE NENO la Mungu ili kuondokana na hali hiyo, pasipo kujifunza hizo tabia hazitaondoka kwako. Jifunze kuwa kiumbe kipya, jifunze KUTAMKA maneno mazuri na kutenda mambo MEMA uwe kama Mungu, ili Ibilisi asikuweke hatiani. Unaweza kufanya uovu katika hali ya kujificha lakini tambua Ibilisi anakuona na Mungu anakuona. Hakikisha unatenda HAKI na kuwa mtu MWEMA mahali popote ulipo na kwa kufanya hivyo utakuwa MSHINDI katika kila ulifanyalo. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
Remember that this is the Year of VICTORY, you who was failing in marriage, class and in business; you will FAIL NO MORE, because VICTORY has come unto you. God will cause RESTORATION for all that was lost. It is the year of GREAT RESTORATION within your life. The businesses that you couldn't get and those which were failing, shall FAIL NO MORE, because this is the season of RESTORATION. © Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. # Translation Kumbuka huu ni Mwaka wa # USHINDI , wewe uliyekuwa unashindwa kwenye ndoa, darasani na kwenye biashara yako # HUTASHINDWA tena maana USHINDI umekuja Kwako. Mungu atasababisha MAREJESHO kwa yale yote yaliyopotea. Ni Mwaka wa Marejesho MAKUU katika Maisha yako. Biashara ulizokuwa unazikosa na zinaharibika # HAZITAHARIBIKA tena maana ni Kipindi cha Marejesho. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
Mungu yupo tayari kukusaidia kwa yote unayohitaji ili kufanikisha Mipango na Ndoto zako. Ataondoa kila kikwazo, kipingamizi, uadui na hali ya kushindwa inayokukalibia ili uweze kutimiza mambo ambayo umeyapanga yatokee katika Mwaka huu wa USHINDI, kwa sababu kufanikiwa kwako ndiyo Furaha ya Mungu. Kila unapofanikiwa katika Maisha yako unasababisha Ufalme wa Mungu Kuongekezeka, Kustawi na Kuleta UTUKUFU na SIFA kwa Mungu, ndiyo maana anasema “Eleza mambo yako upewe haki yako”, Mafanikio ya Wana wa Mungu ni sehemu ya Haki, Urithi na Imani yao kwa Mungu. Kwahiyo katika Mwaka huu wa USHINDI usikate tamaa, fanyia Kazi Maono yako Ili Mungu aweze kukuwezesha zaidi na zaidi. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
As long as God as allowed this Year to be your # Year of VICTORY, by the same measure you were afflicted; by that same measure, the Lord will lift you up. By the same measure you were abused, and spoke evil against you and they stepped you; now they are going to Praise and Speak the best about you; because God has allowed restoration within your life. © Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. # Translation Kwa sababu Mungu ameruhusu Mwaka huu uwe wa USHINDI kwako, kiwango kile kile ulichoteseka, kwa kiwango kile kile Bwana anaenda kukuinua. Kwa kiwango kile kile walichokutukana, wakakunenea vibaya, wakakukanyaga na kukutemea mate, sasa wanaenda KUKUSIFU na kukunenea MAZURI na KUKUPAMBA, kwa sababu Mungu ameruhusu yale yaliyo haribika katika maisha yako yanaenda kurudishwa kwa UPYA. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY
- Get link
- X
- Other Apps
Always learn to have the CHARACTER of Gentleness and Kindness so that VICTORY may come towards you, do not make quick decisions at anything. Pay attention to the Holy Spirit at all things; since by doing so, it is so easy to gain victory in this year of VICTORY. Desire to be in the House of the Lord, at HIS presence always; just as David did, let that be your character so that you may get those things prepared for you in this year of VICTORY. Psalms 27:4 "One thing have I desired of the LORD, that will I seek after; that I may dwell in the house of the LORD all the days of my life, to behold the beauty of the LORD, and to enquire in His temple." © Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY. # Translation Siku zote Jifunze kuwa na TABIA ya Upole na Ukarimu ili USHINDI uweze kuja kwako, wala usiwe na haraka katika kufanya maamuzi kwenye jambo lolote. Msikilize Roho Mtakatifu katika kila jambo, maana ukiwa unafanya hivyo ni rahis...
- Get link
- X
- Other Apps
TANGAZO: • Natangaza USHINDI kwako leo, kila kilichokuwa kimekufa katika maisha yako KIKAWE HAI TENA kwa JINA la YESU, • Kila kilichokuwa kimevunjika vunjika kwako kinakwenda kuungana, • Yale yote yaliyokuwa yametwaliwa kwako yanakwenda kurudishwa, Hakuna kitakacho inuka kinyume chako kitashinda kwa Jina la Yesu. © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
When God says that you shall LIVE, no matter what the devil or people do; you shall LIVE. Lazarus was dead and stinking but when Jesus came, HE said that he was sleeping thus HE woke him up. If God has brought His WORD unto you that you shall not die by accident even if you face an accident, you shall RISE up and LIVE. God has proclaimed that the year 2019 is the YEAR of VICTORY unto you; let they bring or do whatsoever, but the answer shall remain that you are VICTORIOUS and nothing shall overcome you. © APOSTLE AND PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - EFATHA MINISTRY. # Translation Mungu akisema UISHI hata Ibilisi au wanadamu wafanye nini UTAISHI tu, Lazaro alikuwa amekufa na alikuwa anatoa harufu mbaya kabisa lakini Bwana alipokuja akasema amelala na akamuamsha. Kama Mungu ameleta neno kwako kuwa haufi kwa ajali hata ukipata ajali utainuka tu na UTAISHI. Mungu ametangaza 2019 kuwa ni MWAKA WA USHINDI kwako, walete watakayo leta waseme watakayo sema, wafanye watakavyo...
- Get link
- X
- Other Apps
IBADA YA MKESHA WA MWAKA 2019. - BWANA atabadilisha Moyo wako uliyo na hali ya kushindwa na roho yako iliyo na hali ya kukata tamaa nawe utapewa Roho na Moyo mpya ili upate KUSHINDA kwa Jina la Bwana kila uendapo. Ezekiel 36:26 "Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama" - # MWAKA 2019 kutakuwa na hali ya kutiwa Nguvu kutoka JUU, wakati unatiwa Nguvu na Bwana kuna Mambo matatu yatatokea, ukawe mwaminifu katika kumkumbusha Bwana,usinyamaze mpaka uone kila unachohitaji kimetimia. Isaya 40:29-31 “Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka; bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.” • BWANA atakuvika mbawa za Tai ili upate kuruka juu kwa haraka UYAFIKIE yale yaliyo JUU ma...
- Get link
- X
- Other Apps
IBADA YA MKESHA WA MWAKA 2019. - # MWAKA huu hakutakuwa na mateso juu yako maana BWANA atakomesha mateso yako, Nahumu 1:9 “Mnawaza nini juu ya BWANA? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.” Kama kuteseka umeteseka vya kutosha mateso hayatainuka tena kwako. - #MWAKA huu patakuwa na MTIKISIKO wa kushangaza katika Maisha ya wanadamu ili kuruhusu UTUKUFU wa Mungu kuwafunika wale Wampendao, Mtikisiko huu utakuwa ni wa kuondoa yale yanayozuia wana wa Mungu wasipokee Baraka za Mungu. • MTIKISIKO huu utasababisha MEMA ya Milele yakujilie wewe Mwana wa Mungu. • Hagai 2:6 “Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu;” Huu ni WAKATI wako ambao Mungu anaenda kukutikisia yale yanayokuzuia kwenda mbele, atatikisa ili MATAKATIFU yake yakujilie. • BWANA atakufanya # RUNGU lake, Yeremia 51:20 “Wewe u rungu langu na silaha zangu za vita; kw...
- Get link
- X
- Other Apps
IBADA YA MKESHA WA MWAKA MPYA 2019: #MWAKA 2019 ni MWAKA WA USHINDI 'The YEAR OF VICTORY'. 2019 NI MWAKA WA USHINDI, wewe uliyekuwa unashindwa darasani # HAUTASHINDWA tena, uliyekuwa unashindwa kwenye Ndoa #HAUTASHINDWA tena, uliyekuwa unashindwa na magonjwa #HAUTASHINDWA tena, maana BWANA ameruhusu Afya tele. # MWAKA HUU 2019 kutakuwa na Mambo # SABA yatakayotokea, kuna wengine yatawatokea yote kulingana na walivyoelewa. - #MWAKA huu utakuwa ni Mwaka wa MAREJESHO MAKUU katika Maisha yako, Yoeli 2:25 “Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.” • Mwaka jana Mwaka wa NGUVU kulikuwa na mambo ambayo yalikuwa ni magumu sana lakini Mungu aliruhusu NGUVU yake itujilie ili Tushinde. Kilichokuvusha Mwaka 2018 ni NGUVU ya Mungu pekee. • Kwa sababu huu ni #MWAKA wa UREJESHO kutakuwa na UTELE katika Maisha yako, katika Nyumba yako hautahangaika kuhusu CHAKULA...
- Get link
- X
- Other Apps
MATUKIO KABLA YA MWAKA MPYA. IBADA MAALUMU YA WANA NDOA (KUBARIKI NDOA NA KUBARIKI PETE ZAO.) - EFATHA MINISTRY MWENGE: © Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. Mungu amekusudia kukutendea MEMA katika Familia yako hivyo usije ukasema ni Nguvu zako ndio zimekutendea bali umkumbuke BWANA Mungu wako maana ndiye akupaye Nguvu za kupata Utajiri alizowapa baba zako. Mche Mungu, hata kama ukatajirika kuliko waliotajirika kamwe usimwache Mungu, endelea kumtumikia YEYE siku zote za Uhai wako.