You may see that some people go through hardship and a chaotic lifestyle whose source is not recognized, but once you observe the source of what they are going through; it is because they do not take hid on what they are instructed by their leaders.

This makes them see that the pain that they are going through is part of life, but in this year of VICTORY desire to be different so that you may encounter what God has intended for you in this Year; agree to OBEY and follow the INSTRUCTIONS that you are instructed by your Leader, because by doing so, you are paving your way towards VICTORY within your Life.

©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Unaweza kuona watu wengi wanapita kwenye misukosuko na maumivu makali ambayo hawaelewi kiini chake, lakini ukija kuangalia chanzo cha mateso yao ni kwa sababu HAWAZINGATII yale wanayoelekezwa na Viongozi wao.


Inawasababishia waone maumivu wanayopitia ni sehemu ya Maisha, lakini katika Mwaka huu wa USHINDI amua kuwa tofauti ili uweze kukutana na kile ambacho Mungu amekukusudia ukipate kwa Mwaka huu, kubali KUTII na kuyafuata MAAGIZO unayoelekezwa na Kiongozi wako, maana ukifanya hivyo unajitengenezea Njia ya kupata USHINDI katika Maisha yako.

©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."