Kikundi cha Ngoma cha Efatha Ministry Sunday School kikimsifu Mungu katika Ibada ya Mkesha wa MWAKA mpya 2019 Efatha Ministry Mwenge Dar es Salaam, Tanzania.
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment