TANGAZO:
• Natangaza USHINDI kwako leo, kila kilichokuwa kimekufa katika maisha yako KIKAWE HAI TENA kwa JINA la YESU,
• Kila kilichokuwa kimevunjika vunjika kwako kinakwenda kuungana,
• Yale yote yaliyokuwa yametwaliwa kwako yanakwenda kurudishwa,

Hakuna kitakacho inuka kinyume chako kitashinda kwa Jina
la Yesu.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment