God loved man since the beginning, and HIS first promise unto man was BLESSINGS.
Genesis 1:28 "And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth."
Once you are poor, it does not make sense about which God you are serving; since it is a sign that you are closer to the devil than God who blesses. The WORD says that, "BE BLESSED" and not "face lack" and it further says that, "RULE" over each creature that has life; meaning that you should have dominion over everything.
There is no poverty with God; what tortures lot of the saints is; "failure to recognize who they are in the Kingdom of God." There are people who have been saved for a long time but their lives are still miserable while in God there is plenty. Discern yourself about, who you are to your FATHER in Heaven; so that you may DOMINATE what HE has intended for you here on Earth.
© Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira – EFATHA MINISTRY.
#Translation


Mungu alimpenda Mwanadamu tangu hapo Mwanzo, na AHADI yake ya kwanza kwa huyo Mwanadamu ni BARAKA. Mwanzo 1:28 “Mungu AKAWABARIKI, Mungu akawaambia, ZAENI, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; MKATAWALE samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.”
Unapokuwa maskini ina maana kuwa haueleweki ni Mungu yupi unayemtumikia; kwani ni dalili ya kwamba upo karibu na shetani kuliko Mungu Anayebariki. Neno linasema, “UKABARIKIWE na siyo ukawe fukara” na tena UKATAWALE kila kiumbe chenye uhai, ina maana kuwa ukatawale kila kitu.
Kwa Mungu hakuna maskini, kinachotesa Watakatifu wengi ni kutokutambua wao ni wakina nani katika Ufalme wa Mungu. Kuna watu Wameokoka miaka mingi lakini maisha yao ni duni mpaka shetani anawashangaa, wakati kwa Mungu kuna UTELE, jitambue wewe ni nani kwa BABA yako wa Mbinguni ili upate KUMILIKI vile Alivyo kukusudia hapa duniani.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira - EFATHA MINISTRY.


Comments