From today death has been procrastinated until you FULFILL 120 years. From today, may God grant you to fulfill the days of your LIFE here on earth; sicknesses and accidents shall not change the plan of God unto your life.
:- Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).
#Translation

Kuanzia leo kifo kimepelekwa mbele mpaka utimize MIAKA 120. Kuanzia leo Mungu akakujalie kutimiza SIKU zako za kuishi duniani; magonjwa na ajali yasibadilishe utaratibu uliyowekewa na Mungu.
:- Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira (EFATHA MINISTRY).


Comments