Ephesians 1:7 "In whom we have redemption through his blood, the forgiveness of sins, according to the riches of his grace."
The love of God has FORGIVENESS; Forgive those who did wrong unto you, seven times seventy times. No matter what they did unto you, forgive them since it is not for their benefit but for your own benefit. It is only in LOVE that there is forgiveness, outside of love, revenge is common.
Do not forgive someone by counting the number of times he/she did wrong unto you; by doing so, God will not forgive you as well. Because if God counts the number of times you've done wrong against HIM, HE will not be able to forgive you since they are many. FORGIVE those who do wrong against you so that you may also be FORGIVEN.


©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira - EFATHA MINISTRY.
Waefeso 1:7 “Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa Neema yake.”

Pendo la Mungu lina MSAMAHA; Samehe wale waliokukosea saba mara sabini, haijalishi ni kitu gani wamekutendea Wasamehe kwa sababu si kwa faida yao bali ni kwa faida yako wewe. Ni katika Pendo pekee ndipo kuna Msamaha, nje ya Pendo kulipa kisasi ni jambo la kawaida.
Usimsamehe mtu kwa kuhesabu ni mara ngapi amekukosea, kwa wewe kufanya hivyo Mungu pia hata kusamehe, kwa maana Yeye akihesabu ni mara ngapi umemkosea hataweza kukusamehe kwa sababu ni mengi sana; SAMEHE wanaokukosea ili na wewe upate KUSAMEHEWA.
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira - EFATHA MINISTRY.


Comments