Always learn to have the
CHARACTER of Gentleness and Kindness so that VICTORY may come towards you, do
not make quick decisions at anything. Pay attention to the Holy Spirit at all
things; since by doing so, it is so easy to gain victory in this year of VICTORY.
Desire to be in the House of the Lord, at
HIS presence always; just as David did, let that be your character so that you
may get those things prepared for you in this year of VICTORY.
Psalms 27:4 "One thing have I desired
of the LORD, that will I seek after; that I may dwell in the house of the LORD
all the days of my life, to behold the beauty of the LORD, and to enquire in
His temple."
© Servant of GOD Apostle
and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Siku zote Jifunze kuwa na
TABIA ya Upole na Ukarimu ili USHINDI uweze kuja kwako, wala usiwe na haraka
katika kufanya maamuzi kwenye jambo lolote. Msikilize Roho Mtakatifu katika
kila jambo, maana ukiwa unafanya hivyo ni rahisi sana wewe kupata USHINDI wako
katika Mwaka huu wa USHINDI.
Tamani kuwa kwenye Hema ya Bwana, penye
uwepo wa Mungu wakati wote kama alivyofanya Daudi na iwe ni Tabia yako ili
uweze kupata yale mambo ambayo
Mungu amekuandalia katika Mwaka huu wa USHINDI.
Zaburi 27:4 “Neno Moja
nimelitaka kwa BWANA, Nalo ndilo nitakalolitafuta, Nikae nyumbani mwa BWANA
Siku zote za maisha yangu, Niutazame uzuri wa BWANA, Na kutafakari hekaluni
mwake.”
© Mtumishi wa MUNGU Mtume
na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Comments
Post a Comment