MATUKIO KABLA YA MWAKA MPYA.
IBADA MAALUMU YA WANA NDOA (KUBARIKI NDOA NA KUBARIKI PETE ZAO.) - EFATHA MINISTRY MWENGE:
IBADA MAALUMU YA WANA NDOA (KUBARIKI NDOA NA KUBARIKI PETE ZAO.) - EFATHA MINISTRY MWENGE:
© Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Mungu amekusudia
kukutendea MEMA katika Familia yako hivyo usije ukasema ni Nguvu zako ndio
zimekutendea bali umkumbuke BWANA Mungu wako maana ndiye akupaye Nguvu za
kupata Utajiri alizowapa baba zako.
Mche Mungu, hata kama
ukatajirika kuliko waliotajirika kamwe usimwache Mungu, endelea kumtumikia YEYE
siku zote za Uhai wako.
Comments
Post a Comment