Remember that this is the Year of VICTORY, you who was failing in marriage, class and in business; you will FAIL NO MORE, because VICTORY has come unto you. God will cause RESTORATION for all that was lost. It is the year of GREAT RESTORATION within your life. The businesses that you couldn't get and those which were failing, shall FAIL NO MORE, because this is the season of RESTORATION.
©Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
#Translation

Kumbuka huu ni Mwaka wa #USHINDI, wewe uliyekuwa unashindwa kwenye ndoa, darasani na kwenye biashara yako #HUTASHINDWA tena maana USHINDI umekuja Kwako. Mungu atasababisha MAREJESHO kwa yale yote yaliyopotea. Ni Mwaka wa Marejesho MAKUU katika Maisha yako. Biashara ulizokuwa unazikosa na zinaharibika #HAZITAHARIBIKA tena maana ni Kipindi cha Marejesho.
©Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."