Mtume na Nabii J. E.Mwingira
Ukimpendeza MUNGU hata ukimkosea Anakuhurumia, hata kama Uliaibika vya Kutosha leo MUNGU Anakwenda kutoa Aibu yako na Anakwenda KUKUFUNIKA na UTAKATIFU Wake, ya Kale yamepita na tazama yamekuwa MAPYA.
Sema huu ni MWANZO wa Safari yangu ya UMILELE, MUNGU aliyeanza KAZI na Mimi ATAIMALIZA Hataishia Njiani.
Sema huu ni MWANZO wa Safari yangu ya UMILELE, MUNGU aliyeanza KAZI na Mimi ATAIMALIZA Hataishia Njiani.
Comments
Post a Comment