USHUHUDA.
Kwa jina Naitwa Elizaberth Mwenda: Napenda kumshukuru MUNGU kwa MATENDO Makuu aliyonitendea kwa kuniinua kwenye Elimu yangu kwani nilikuwa mtu wa nchini sana kielemu na sasa kwa upande wa academic NAONGOZA.
Pia namshukuru MUNGU kwa kupitia kinywa cha Mtumishi wake Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira tulipokuwa Kusanyiko Kibaha aliposema tusikubali kuongozwa na viongozi wasiofaa tuache kulalamika tugombee hizo nafasi, nikalishika hilo neno na kuchukua hatua kwani nami nilikuwa naonewa sana na viongozi shuleni nikaamua kugombea uongozi na sasa ni Kiongozi.
UKIMUAMINI MUNGU na UKIWAAMINI WATUMISHI WAKE, Utafanikiwa... Usikate tamaaa kwa MUNGU kuna MAJIBU ya tatizo lako.
Comments
Post a Comment