In order for you to eat the GOODNESS which God has prepared for you, LEARN how to WALK with HIM. God says, “I lead in the way of RIGHTEOUSNESS, in the midst of the paths of judgment. That I may cause those that love me to INHERIT substance; and I will FILL THEIR TREASURES.” You don’t need to ask for them but you shall inherit them because they are yours; the best you need is to learn how to walk in HIS MOVE so that you can meet with HIM. A saint who walks without the BLESSIN GS of God, it’s so easy for him/her to backslide; but the source of all is you. Decide to walk in the way of RIGHTEOUSNESS AND YOU WILL SEE GOD’S BLESSINGS IN YOUR LIFE. © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA
Posts
Showing posts from March, 2018
- Get link
- X
- Other Apps
1 Yohana 2:14 "Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu." (Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Joesphat Elias Mwingira atakutana na Wababa wote na Vijana wa Kiume katika SEMINA YA WABABA kuanzia tarehe 28/March/2018 Jumatano saa 2 Asubuhi mpaka Alhamisi tarehe 29/March/2018 mchana).
- Get link
- X
- Other Apps
God loved man since the beginning, and HIS first promise to man was BLESSINGS. Genesis 1:28 “And God blessed them, and God said unto them, Be fruitful, and multiply, and replenish the earth, and subdue it: and have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over every living thing that moveth upon the earth.” Once you are poor it brings questions about which God you are serving? Since it’s a sign that you are closer to the devil than to God who blesses. The word says, “Let you be BLESSED not be bankrupt” and let you subdue every living creature; meaning that everything. In God there is no POVERTY; what tortures most Saints is the failure to recognize who they are in the KINGDOM of God. There are some people who have been saved for a long time but their lives are so miserable to the extent the devil is astonished of them; since in God there is PLENTY. As a SAINT, recognize who you are to your FATHER in Heaven so that you may possess what you were meant for...
- Get link
- X
- Other Apps
Mungu alimpenda mwanadamu tangu hapo Mwanzo, na Ahadi yake ya kwanza kwa huyo mwanadamu ni Baraka. Mwanzo 1:28 “Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.” Unapokuwa maskini ina maana kuwa haueleweki ni Mungu yupi unayemtumikia; kwani ni dalili ya kwamba upo karibu na shetani kuliko Mungu anaye Bariki. Neno linasema, “Ukabarikiwe na siyo ukawe fukara” na tena ukatawale kila kiumbe chenye uhai, ina maana kuwa ukatawale kila kitu. Kwa Mungu hakuna maskini, kinachotesa Watakatifu wengi ni kutokutambua wao ni wa kinanani katika UFALME wa Mungu. Kuna watu wameokoka miaka mingi lakini Maisha yao ni duni mpaka shetani anawashangaa, wakati kwa Mungu kuna utele. Wewe uliyeokoka jitambue wewe ni nani kwa BABA yako wa Mbinguni ili upate KUMILIKI vile alivyokukusudia hapa Duniani. : Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elia...
- Get link
- X
- Other Apps
The Relationship between God and man is more than that of a husband and a wife. As the bible says; Genesis 3:16 "Unto the woman He said, I will greatly multiply thy sorrow and thy conception; in sorrow thou shalt bring forth children; and thy desire shall be to thy husband, and he shall rule over thee." This means that whatever the wife will do, the aim is to please the husband and not to annoy him. A wife with a good mind will do all she can to make sure that the husband is happy and respected within the community. In the same way, Man was created so as to do all he can to PLEASE God; so that God can be RESPECTED and PRAISED to His creation. Even now, whatever that man does; in order for him/her to rejoice, he/she should make sure that God is PLEASED with it and RESPECTED through it. Desire to know God and to serve HIM so that you may receive what HE has planned for you since the beginning of creation. APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
Mahusiano ya Mungu na mtu ni zaidi ya Mahusiano ya mke na mume ambapo Biblia inasema; Mwanzo 3:16 "Akamwambia nwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto na tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye atakutawala." Ikimaanisha kuwa Jambo lolote mke atakalofanya ni ili amfurahishe mumewe wala sio kumkasirisha. Mke mwenye Ufahamu mzuri atafanya kila analoweza ili Mumewe afurahi na aheshimike na jamii. Vivyo hivyo, Mwanadamu aliumbwa afanye kila analoweza KUMPENDEZA Mungu ili apate Heshima na Sifa duniani kwa uumbaji wake. Hata sasa jambo lolote ambalo mtu anafanya ili afurahi ni lazima ahakikishe Mungu pia ANALIFURAHIA na KUHESHIMIWA. Hata hivyo wapo watu wanaofanya mambo yanayomkasirisha Mungu kwa kuharibu uumbaji wake na kufanya machukizo mbele zake kwa kuabudu vitu vilivyoumbwa naye kwa sababu hawamjui Mungu wa Kweli. Kutokumjua Mungu wa KWELI ni hatari sana, maana kunapumbaza akili hata kunyimwa Haki. Tamani KUMJUA na KUMTUMIKIA Mungu ...
- Get link
- X
- Other Apps
Yeremia 23:23 “Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali.” Je! Umewahi kujiuliza kuwa, mara nyingi umekuwa ukiomba na hauoni majibu wakati Mungu amesema kuwa YEYE ni Mungu aliye karibu na wewe? Kwa nini hajibu maombi yako? Unapaswa kuchunguza mahusiano yako na YEYE yakoje, YEYE ni Mtakatifu; Je! Unaishi katika Utakatifu? YEYE Anasamehe, Je! wewe Unasamehe wale wanaokukosea? Mungu anataka upokee Mema kutoka kwake, hivyo JICHUNGUZE wewe mwenyewe kuwa je! Unatii sheria zake? Chunguza Moyo wako leo na uamue kugeuza njia zako ili upate kumuona Bwana katika maisha yako, ACHA KUJIFARIJI. :- Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
- Get link
- X
- Other Apps
If there is a thing that the Lord Jesus is glad about and that HE desires to see you doing DILIGENTLY, it's; making one person to reach towards REPENTANCE meaning that (being SAVED); because this is what made HIM to come to earth; so if you do this work, HE will be glad of you. Mathew 28:19-20 "Go ye therefore, and teach all nations, baptizing them in the name of the Father, and of the Son, and of the Holy Ghost: Teaching them to observe all things whatsoever I have commanded you: and, lo, I am with you always, even unto the end of the world. Amen." (KJV) Desire to make one person to reach towards REPENTANCE so that the Lord Jesus may be GLAD of you. © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA (EFATHA MINISTRY)
- Get link
- X
- Other Apps
MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA. (IBADA YA JUMAPILI Tarehe 11/March/2018). SOMO: NGUVU YA MUNGU. ROHO Anatembea katika maeneo Matatu. 1. ROHO MTAKATIFU pamoja NASI. 2. ROHO MTAKATIFU ndani YETU. 3. ROHO MTAKATIFU Juu YETU. ROHO pamoja Nasi Yohana 16:8 “Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.” 1. Kwa habari ya Dhambi kwa sababu hatumjui YEYE, ukimjua YEYE Dhambi haina Nguvu kwako, ROHO huyo Anapokuja atanena na wewe kwa habari ya Dhambi na ATAKUSAIDIA kuondokana au KUSHINDA Dhambi. 2. Kwa habari ya HAKI, Unaipataje HAKI? Tunapata Haki kwa Neema ya Mungu, hatuwezi kupata Haki nje ya NEEMA, ndani ya Neema tunapata HAKI, tunaipataje hiyo Neema? Tunaipata kwa kumpokea Bwana YESU kuwa BWANA na MWOKOZI wa Maisha yetu, Warumi 3:23-25 “kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; wanahesabiwa haki bure kwa Neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu; ambaye Mungu amekwisha kumwe...
- Get link
- X
- Other Apps
IBADA YA JUMAPILI Tarehe 11/March/2018. MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA: MWAKA huu Mungu alisema nasi kuwa ni Mwaka wa NGUVU kwa sababu Mungu ATATUWEZESHA kuipata hiyo NGUVU, yaani kwa maana nyingine huu ni Mwaka wa UWEZESHO, Mungu anataka tuwe na NGUVU katika Maeneo yote. Matendo 1:8 “Lakini mtapokea NGUVU, akiisha kuwajilia JUU YENU ROHO MTAKATIFU; nanyi mtakuwa Mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.” Unapaswa KUMJUA yule Anayebeba hiyo NGUVU kwa sababu ukimpuuza kamwe HUTAWEZA kupokea kile unachotakiwa Kukipokea, MBEBA Nguvu ni wa muhimu sana. Yule ANAYETUMA ni wa muhimu zaidi lakini YEYE Amekwisha kutuma ili UIPOKEE, hivyo wewe unapaswa kumjua YEYE ANAYEBEBA na ndiyo maana akasema kuwa “Lakini mtapokea NGUVU, akiisha kuwajilia JUU YENU ROHO MTAKATIFU;” hii ina maana kuwa hutaweza kupokea Nguvu kama Asipokujilia huyo ROHO MTAKATIFU lakini Akija utakuwa UMEPOKEA kile unachokihitaji.
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: TAMKA NENO. Unapotamka NENO, unasababisha Ulimwengu wa roho KUITIKA usemacho na kuruhusu Dunia kutekeleza. Tamka neno ili kuruhusu ulimwengu wa roho kulichukua na kuelekeza duniani litekelezwe. Ukielewa siri hiyo utaifurahia dunia, kwani vilivyoko vina kazi ya KUTEKELEZA kile roho amesema; kiwe chema au kibaya. Pumzi yako ina nguvu ya roho, hivyo chochote utakachosema ni lazima ulimwengu wa roho uitike ili kutekeleza. Ukisema hasi au neno baya kuhusu Maisha au Mazingira yako, shetani huchukua hilo neno na kulifanyia kazi ili kukuletea ubaya. Ukiona ubaya unakujilia au mazingira mabaya yanayokunyima furaha au kukuondolea Amani, usitamke ile hali mbaya, bali kiri kama NENO linavyosema ili kusababisha hali CHANYA kujitokeza kwenye Maisha yako. Jitahidi kukiri NENO la Mungu wakati wote ili kuruhusu ROHO wa Mungu kulithibitisha upate kupokea Ahadi za Mungu. : Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira - Efatha Ministry.
- Get link
- X
- Other Apps
HAKI ni Nini? Ni Maisha ya WOKOVU, Zaburi 116:12-13 “Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza JINA la BWANA;” Haki si kutembea kama unaogopa ardhi bali ni kuupokea WOKOVU yaani kumruhusu Bwana Yesu kuwa BWANA na MWOKOZI wa Maisha yako, Unapo OKOKA sasa unaweza kusema kuwa Mimi ni mwenye HAKI wa Mungu. Huwezi kujifanya mwenye HAKI bali Bwana Yesu ndiye anayeweza kukufanya kuwa mwenye HAKI wa Mungu kwa kumkubali YEYE katika Maisha yako.
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: UPENDO; Yohana 15:5 “Mimi ni mzabibu; ninyi ni matawi, akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; maana pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lo lote.” Kama unataka maisha yako yawe tofauti na mwingine kaa ndani ya Yesu, yaani wewe uwe ndani yake naye awe ndani yako, lakini hii haiwezekani pasipo UPENDO wa Mungu. Mungu ni PENDO, ukiwa na UPENDO wa Mungu basi tutajua kuwa una Mungu, tutajuaje kuwa una UPENDO wa Mungu? Kwa kuona matendo yako kama yanafanana na mtu mwenye UPENDO au la. Ili uweze kufanya mambo makubwa na maisha yako yawe ya tofauti na wengine ni lazima ukae ndani ya UPENDO. © MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA.
- Get link
- X
- Other Apps
THERE ARE FOUR AREAS THAT SIN OPERATES; a) THROUGH YOUR EYES. Sin can come to you and enter you through your Eyes. Psalms 73 (read the entire chapter) b) THROUGH YOUR EARS. What do you HEAR and how do you HEAR. Isaiah 6 (read the entire chapter) c) YOUR HANDS. Your Hands and how you do things can cause you to do sin. For instance, at work if you don’t work diligently and in goodness God can judge you through it. “How FAITHFUL are you and how DILIGENT you are when you do your work, if not; this will cause you to go to hell.” # Whatever you do, do it with your entire MIND. d) THROUGH YOUR LEGS. Proverbs 8:18-20 “Riches and honor are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment” (KJV) God is God who looks at the WAYS we pass through; this means that where do your Legs take you. Your Legs can cause you to go ...
- Get link
- X
- Other Apps
SOMO: NGUVU YA MUNGU. Matendo ya Mitume 1:8 "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi". Anataka tuwe MASHAHIDI katika Dunia hii, kuanzia hapa tulipo, kule tunakokwenda, tunakofanya Kazi, kwa Majirani zetu na mahali ambapo hatuwezi kufika lakini tunaweza kuwa Mashahidi huko. Tunakuwa Masha hidi wa YESU KRISTO kwa sababu Ushahidi huo ni HABARI NJEMA, nje ya Ushahidi wa YESU KRISTO ni Habari Mbaya. YESU peke yake ndiye Anayeweza kukupeleka MBINGUNI, KUPONYA magonjwa, KUKUKOMBOA katika umaskini, KUKUSAIDIA Kuishi na Mke kwa Amani maana pasipo YEYE ni vurugu, Ndoa nyingi ni vurugu na kilio kila siku, watoto wanateseka ni kwa sababu hakuna HABARI NJEMA huko ndani. Popote YESU alipo kuna AMANI kwa sababu YEYE ni Mfalme wa Amani, ni MSHAURI Mkuu anaweza kukushauri wapi pa kwenda na nini cha kufanya, anajua jana yako na kesho yako. YESU anajua nini...
- Get link
- X
- Other Apps
SUNDAY SERVICE AT EFATHA MINISTRY MWENGE (25TH FEB 2018) © APOSTLE & PROPHET JOSEPHAT E. MWINGIRA SUBJECT: THE POWER OF GOD POWER IS DIVIDED INTO THREE AREAS OF WHICH THE HOLY SPIRIT OPERATES; 1. THE HOLY SPIRIT WITH US. John 16:8 “And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment” (KJV) a) The first things when the Holy Spirit comes, HE will tell you about your CHARACTER. When the Holy Spirit comes before doing anything HE will show you your sin; about what happened and why are you facing those situations. “HE will tell you that whatever you are facing is because of your SIN.” • The First thing that the Holy Spirit does when HE comes to you, “HE will rebuke you.” ANY PERSON WHO LOVES YOU, WILL TELL YOU YOUR WICKNESSES BUT IF HE DOEN’T DO SO, HE DOES’NT LOVE YOU.” “DO YOU WANT TO PROSPER, TO SHINE & TO BE FAMOUS? ALLOW THE HOLY SPIRIT TO SPEAK TO YOU” • The Holy Spirit rebukes you and tells you about SIN, because SIN ...