1 Yohana 2:14 "Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu."
(Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Joesphat Elias Mwingira atakutana na Wababa wote na Vijana wa Kiume katika SEMINA YA WABABA kuanzia tarehe 28/March/2018 Jumatano saa 2 Asubuhi mpaka Alhamisi tarehe 29/March/2018 mchana).

Comments
Post a Comment