HAKI ni Nini? Ni Maisha ya WOKOVU, Zaburi 116:12-13 “Nimrudishie BWANA nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza JINA la BWANA;”
Haki si kutembea kama unaogopa ardhi bali ni kuupokea WOKOVU yaani kumruhusu Bwana Yesu kuwa BWANA na MWOKOZI wa Maisha yako, Unapo OKOKA sasa unaweza kusema kuwa Mimi ni mwenye HAKI wa Mungu.
Huwezi kujifanya mwenye HAKI bali Bwana Yesu ndiye anayeweza kukufanya kuwa mwenye HAKI wa Mungu kwa kumkubali YEYE katika Maisha yako.

Comments
Post a Comment