Je! Unataka kuona WEMA wa MUNGU katika maisha yako?
"JENGA TABIA YA KUSHUHUDIA HABARI ZA YESU KWENYE MAISHA YAKO!"
- Unapojijengea tabia ya KUMSHUHUDIA YESU katika maisha yako, inakusaidia kuulinda na kuutunza UTAKATIFU wako."
© Mtume na Nabii Josephat E. Mwingira (Efatha Ministry)

Comments