SOMO: WAZA KUHUSU MUNGU.

Amua KUBADILISHA Namna yako ya KUWAZA, umewaza sana kuhusu mume wako na mke wako, amua kuachana na hayo yote na uanze KUMTAFAKARI Mungu. Kama unataka Kuolewa au Kuoa anza KUWAZA kuhusu Mungu, Mungu akasema si vema mtu awe peke yake, kama unataka kupata Mume au Mke mzuri WAZA KUHUSU Mungu na hutapata Kiloriti bali utapata Mume/ Mke kutoka kwa Mungu. Unapoamua KUWAZA kuhusu Mungu wakati watu wapuuzi wakikutamkia laana Mungu anageuza kuwa BARAKA.

"NAKUTAMKIA Wiki hii laana yoyote uliyotamkiwa inageuzwa kuwa BARAKA".

Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira -Efatha Ministry.

Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."