Waimbaji wa Efatha Mass Choir wakiongoza Ibada ya Sifa na Kuabudu katika Ibada ya Kwanza, kituo cha Efatha Mwenge Dar es Salaam, Tanzania. (Tarehe 24.12,2017).
Unapokaa ndani yake Kristo Lile pendo la kristo linahamishiwa kwako.unakuwa na ule upendo wa Kristo. 1.Tutashika amri zake Yesu 2.Tukikaa ndani ya Yesu atatundea mema 3.Hatutasengenyana, tutasaidiana, tutakuwa na Umoja 4.Yesu atatuombea kwa Baba wetu wa Mbinguni.
Comments
Post a Comment