Ibada ya asubuhi ya kwanza inayo aanza saa moja kamili hakikisha unakuwepo jumapili ijayo.Kuna ya Pili saa NNE na ya tatu saa SABA karibu sana.
IBADA YA TAREHE 30/11/2014 NENO LA JUMAPILI NA MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA MKESHA MKESHA MKESHA UTAKUWEPO SEHEMU YA KUKATA MANENO. YOHANA 5:1 – 18 1. Imani ya Kuona na 2. Imani kuto kuona Jinsi Yesu alivyo kuwa anafanya maajabu yake YOHANA 5:1-8 Imani lazima ikupeleke mahali lazima ikufikishe kwenye hitma ya kile unacho kitarajia. Yerusalemu hapo kunakitendea kazi, bilika liko pale Yerusalemu lilikuwa na matawi 5 na ndani ya hayo matawi kulikuwepo na jamii kubwa ya wagonjwa na hao wagonjwa wamegawanyika katika matatizo yao, VIPOFU, VIWETE, WALIO POOZA, ni watu wenye safari ya kiimani. Imani lazima ingojewe mtu mwenye imani anasubira. Mwenye imani hatafuti muujiza anatafuta neno likolee. Ufunuo 22:17 na Roho na Bibi harusi na aseme njoo. YOHANA 7:37 BIRIKA LINA MATAWI 5 zaburi 40:1:5 atakuponya na mambo mabaya yote. 1. Kuponya wenye shinda 2. ...