SHUHUDA IBADA YA TATU JINA : ANNA VALENTINO Namshukuru Mungu nimekuja hapa Efatha nikaokoka nikasoma madarasa ya kukulia wokovu nilikua naumwa mwili mzima ila tumbo lilikuwa linanisumbua mpaka nikawa siwezi kubeba ndoo kubwa, pia nilikuwa siwezi kulala na tumbo lakini sasa tangu nimekuja hapa Efatha na nashukuru mwili umepona napia naweza kubeba ndoo kubwa, napia napenda kuwashukuru watu wa Tumaini walionyesha upendo wao kwangu hawakuniacha waliniombea na kunitia moyo, nawashukuru sana Mungu awabariki sana.

Comments