Ibada ya asubuhi ya kwanza inayo aanza saa moja kamili hakikisha unakuwepo jumapili ijayo.Kuna ya Pili saa NNE na ya tatu saa SABA karibu sana.
IBADA YA TAREHE 30/11/2014
NENO LA JUMAPILI NA MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS
MWINGIRA
MKESHA MKESHA MKESHA
UTAKUWEPO SEHEMU YA
KUKATA MANENO.
YOHANA
5:1 – 18
1.
Imani ya Kuona na
2.
Imani kuto kuona
Jinsi
Yesu alivyo kuwa anafanya maajabu yake YOHANA 5:1-8 Imani lazima ikupeleke
mahali lazima ikufikishe kwenye hitma ya kile unacho kitarajia. Yerusalemu hapo
kunakitendea kazi, bilika liko pale Yerusalemu lilikuwa na matawi 5 na ndani ya
hayo matawi kulikuwepo na jamii kubwa ya wagonjwa na hao wagonjwa wamegawanyika
katika matatizo yao, VIPOFU, VIWETE, WALIO POOZA, ni watu wenye safari ya
kiimani. Imani lazima ingojewe mtu mwenye imani anasubira. Mwenye imani
hatafuti muujiza anatafuta neno likolee.
Ufunuo
22:17 na Roho na Bibi harusi na aseme njoo. YOHANA 7:37 BIRIKA LINA MATAWI 5 zaburi
40:1:5 atakuponya na mambo mabaya yote.
1.
Kuponya wenye
shinda
2.
Kudhibitisha watu
na imani zao angalia sana mtu asije kuchukua cha kwako. Ng’angania. Kwani aliye kuwa wa kwanza kuingia katika
bilika ndie anaponywa.
Fanya
vile anavyotaka Mungu ufanye usitake wewe, tamani kuwa wa kwanza na umuweke
Mungu wa kwanza na usiache mtu akutangulie. Acha kuzurula tulia kwa Mungu wako
Yesu ni kitugani alikiona kwa Yule mtu kiwete? Aliangalia imani aliyo Yule mtu
na nia aliyo anyo kila wakati akitaka kuingia mwenzie anaingia ndani ya miaka
38 hatoka hakukata tamaa iko siku muujiza utatimia.
Comments
Post a Comment