Neno limeanza Na Apostle Elias Mwingira..John 5:1-18
Imani isiyo kufikisha mahali imekufa..Lazima Imani iwe na Hitma..Ikufikishe sehemu..Yesu yuko mahali Panaitwa Yerusalem.Kuna vitendea KAZI...ili kazi iambatane na kile unachokitaka.Yesu alikuwa katika sehemu yake ya Kazi..na mahali pale kulikuweko na jamii ya wahitaji/wagonjwa na walikuwa katika vikundi.k.m vipofu, viwete, waliopooza,
Kwa ivo walikuwa na Imani kwamba Yesu anaweza kuwaponya.
Kwa ivo walikuwa na Imani kwamba Yesu anaweza kuwaponya.
Comments
Post a Comment