Posts

Showing posts from July, 2014

Naibariki Jumatano Yangu!

Image

Ibada Ya Jana Katika Kituo Cha Efatha Town Center, wana wa Mungu wakisikiliza Ujumbe wa Mungu kwa Makini.

Image

KUMBUKA na KUKIRI: Na sasa Mimi nakutamkia “kuwa Mwezi huu ni MWEZI wako wa KUSHANGILIA, ni mwezi wa kuona MIUJIZA YA MUNGU”, kuna watu wataenda kuona MIUJIZA ambayo Ndugu zako hawajawahi kusikia. Utakao kusaidia Maisha yako yote. Mwambie YESU nataka kuwa MUUJIZA, maana YESU ni MUUJIZA, mwambie unataka kuona NGUVU ZAKO, MIUJIZA YAKO na UTUKUFU WAKO, Amina.: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Image

How would you feel having your child’s appearance look like that of a person of a different race? We need to bare children who resemble the children of Efatha. OUR PURPOSE To get to the point of GOD’S purpose. • Favour is for the children of GOD. • Grace is for all those who run to HIM. Children are given Grace. Children do not choose, they are chosen. When you are spiritually mature, the devil can never toil with you. When you are being childish, you can do whatever you want. For you to elevate from a childish level, you have to mingle with mature people. If you want to become a driver, you have to stay with a driver, for you to become righteous; you have to stay with the righteous. So that they may guide you on how to live with the Power of GOD. To become a singer you stay with singers and etc. A married woman moving with maidens; what lessons do you want to learn? You need to mix with those with experience so that you can mature. You are saved and you mix yourself with the unsaved and listen to their unholy talks; how do you expect to get the power of GOD? Stay with people who have the power of GOD for you to become a child of GOD (Will Continue...) . : Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Jumatatu Yangu!

Image

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image

MATUKIO katika Picha Ibadani tarehe 13/7/2014

Image
Waimbaji Kwaya ya Chipukizi Efatha Ministry Mwenge Dar es Salaam, wakiwa Madhabahuni wakimwadhimisha BWANA MUNGU wetu katika Ibada ya Pili. MATUKIO katika Picha jana Ibadani: Pichani ni baadhi ya madarasa ya Sunday School Efatha Ministry Mwenge Dar es Salaam, Tanzania. Watoto nao hawakuwa nyuma katika Kumuabudu na Kumtukuza YEYE Aliye MUNGU wetu MKUU.

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image
Image
The Servants of our Mighty GOD; Prophet T.B.Joshua, Rev. Urassa and Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira. Watumishi wa MUNGU pamoja Haleluya; Nabii T.B. Joshua, Mchungaji Urassa, na Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. MUNGU wetu ni Mzuri, YESU wetu ni Mzuri, ROHO MTAKATIFU wetu ni Mzuri.

The POWER OF GOD: It is a booster that enables something to work in a person or it is something that has life. The Power inside a person is called LIFE and this LIFE enables one to move and do anything that he/her wishes to do. When this power is not in the eyes, one is called blind. The Power of God is an essential part in Education. One with this Power understands even after the teacher speaks few words. Others are good in Mathematics while others are not. It will be very strange if you do not envy having the Power of God. The Power of Man is not situated in the brain as the professional’s state; it is found in the Heart. The Power of LIFE in the Heart is the one that pushes the Blood. Scientist can also not see this POWER, but it is the Power that PRODUCES the cells in the Human beings body. God put in man an ability called Seed. Others are told that their reproductive cells aren’t strong, meaning that their Seeds have no life in them to get children. For you to have the ability to LIVE long, you need this Power Psalm 62:11 (11 Once God has spoken; twice have I heard this: that Power belongs to God), Once you get to the stage of being one with life, all you do shall PROSPER. If you see that you are failing, know that your Power is little. So this Power that am teaching about today will help you to start anything you want and succeed. Don’t think that GOD doesn’t want you to succeed of witches have bewitched you till you have failed; it is not true because witches also use a certain power. So if pagans are seeking for power, are you not more POWERFUL than them?. The Mightiest Power of all, is this one: THE POWER OF GOD.(Will continue tomorrow....) : Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Alhamisi Yangu!

Image

MAHUBIRI: Nchi ikastarehe miaka kumi (2 Nyakati 14 -16)

Image
2Nyakati 14:1 "Basi Abia akalala na baba zake, wakamzika mjini mwa Daudi, akatawala Asa mwanawe mahali pake; katika siku zake nchi ikastarehe miaka kumi". Kitu kilichofanya nchi ikastarehe miaka kumi, 2Nyak 15:1-2 "Ndipo roho ya Mungu ikamjia Azaria mwana wa Odedi; nae akatoka ili amlaki Asa, akamwambia, nisikieni, ee Asa, na Yuda wote na B enyamini; Bwana yu pamoja nanyi, mkiwa pamoja nae; nanyi mkimtafuta ataonekana kwenu; lakini mkimuacha atawaacha nanyi". Ni vizuri ukiwa msomaji wa Neno, ukisha Okoka soma Agano Jipya upate kujua kile alichokukirimia (kukuandalia) MUNGU , kisha ukisha elewa soma Agano la Kale ili kupata kujua kile MUNGU Amekusudia wale wampendao 2Nyakati 16:1-3 "Katika mwaka wa thelathini na sita wa kutawala kwake Asa, Baasha mfalme wa Israel akapanda juu ya Yuda, akaujenga Rama, ili asimwache mtu yeyote kutoka wala kuingia kwa Asa mfalme wa Yuda. Ndipo Asa akatoa fedha na dhahabu katika hazina za nyumba ya BWANA, na nyumb...

Naibariki Jumatatu Yangu!

Image

SOMO: KUSIKIA NA KUONA (Linaendelea tulipoishia) Zaburi 1:1a [Heri mtu Yule asiyekwenda katika shauri la …] ukianza kusikiliza umbea nina uhakika kile ambacho unacho kitaondolewa, unaweza kusikia Efatha hawakupendi na wewe ukaamini, utakuwa umepotea, sikiliza “EFATHA NI YESU sio watu”. 1Timoteo 4:1 [Roho zidanganyazo…] ukifika mahali umempokea YESU ukiruhusu muovu aingie na kulichukua Neno ni hatari sana. Miiba ni wale ambao wanasikia na wanaona lakini kutokana na shughuli nyingi za kidunia walizonazo na udanganyifu wa mali wanashindwa kuzaa kwa sababu hawana muda wa kutafakari uzuri wa MUNGU na kufanya mapenzi ya MUNGU. Makundi yote haya manne wote walimpokea YESU, wasingempokea asingesema “…muovu akaja na kuiba”. Yohana 15:6 [Mtu asipokaa ndani yangu…] Anasema mtu “asipokaa” ndani yangu; hasemi “hakunisikia”, kwani hujawahahi kuona mtu amekuja nyumbani kwako ukamkaribisha, akaingia lakini ukimkaribisha kiti anasema ana haraka hakai.: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Naibariki Ijumaa Yangu!

Image

Naibariki Alhamisi Yangu!

Image

EFATHA MINISTRY - Zanzibar

Image
Haleluya, Utukufu na Ukuu ni kwa YEYE aliye BWANA na MUNGU wetu MKUU, MUNGU wa EFATHA, YESU wetu ni MZURI..., Jana ibadani Kanisani Efatha Ministry Mwenge,Dar es Salaam tulishiriki Ibada na wenzetu Wana wa MUNG U (Viongozi) waliokuwa wametokea Efatha Ministry Zanzibar. Pichani: Wana wa MUNGU Viongozi Efatha Ministry Zanzibar wakipokea Baraka toka Mtumishi wa MUNGU Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

EFATHA MINISTRY -KENYA

Image
Haleluya, MUNGU wetu ni Mzuri, YESU wetu ni Mzuri, ROHO MTAKATIFU wetu ni Mzuri, Haleluya... Ibada jana ilikuwa nzuri sana, Wenzetu wa Kenya nao waliungana katika Kumtukuza na Kumuabududu BABA YETU MUNGU wetu, MUNGU M KUU MUNGU wa EFATHA katika Ibada nzuri yenye Uwepo na Utukufu wa MUNGU wetu, Haleluya, SIFA na UTUKUFU ni kwake YEYE BWANA na MUNGU wetu, Aliye MWANZO na MWISHO, Haleluya. Pichani: Ibada ikiendelea jana (tarehe 29/June/2014) ikiongozwa na Mtumishi wa MUNGU Alex Muigah- Kanisa la Efatha Ministry Nairobi Town Centre   Pichani: Mwana wa MUNGU Mwana Efatha, akiongea mbele ya Wana wa MUNGU kuwa atamsaidia na kumlea huyo baba pichani ambaye aliamua Kumpokea BWANA wetu YESU KRISTO, Kanisani jana Efatha Ministry Nairobi Town Centre.

EFATHA MINISTRY - MALAWI

Image
Wana wa MUNGU Efatha Ministry - Malawi (Mzuzu) wakiwa katika harakati ya kumalizia kujenga HEMA YA BWANA MUNGU WETU MKUU, MUNGU WA EFATHA. WEWE ni MUNGU BABA, Hakuna Mungu mwingine, TUNAKUPENDA BABA, TUNAKUPENDA MUNGU Wetu, MUNGU wa EFATHA.