EFATHA MINISTRY - Zanzibar
Haleluya,
Utukufu na Ukuu ni kwa YEYE aliye BWANA na MUNGU wetu MKUU, MUNGU wa
EFATHA, YESU wetu ni MZURI..., Jana ibadani Kanisani Efatha Ministry
Mwenge,Dar es Salaam tulishiriki Ibada na wenzetu Wana wa MUNGU (Viongozi) waliokuwa wametokea Efatha Ministry Zanzibar.
Pichani: Wana wa MUNGU Viongozi Efatha Ministry Zanzibar wakipokea Baraka toka Mtumishi wa MUNGU Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Pichani: Wana wa MUNGU Viongozi Efatha Ministry Zanzibar wakipokea Baraka toka Mtumishi wa MUNGU Baba yetu wa Kiroho Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Comments
Post a Comment