KUMBUKA na KUKIRI: Na sasa Mimi nakutamkia “kuwa Mwezi huu ni MWEZI wako wa KUSHANGILIA, ni mwezi wa kuona MIUJIZA YA MUNGU”, kuna watu wataenda kuona MIUJIZA ambayo Ndugu zako hawajawahi kusikia. Utakao kusaidia Maisha yako yote. Mwambie YESU nataka kuwa MUUJIZA, maana YESU ni MUUJIZA, mwambie unataka kuona NGUVU ZAKO, MIUJIZA YAKO na UTUKUFU WAKO, Amina.: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Photo: KUMBUKA na KUKIRI:

Na sasa Mimi nakutamkia  “kuwa Mwezi huu ni MWEZI wako wa KUSHANGILIA, ni mwezi wa kuona MIUJIZA YA MUNGU”, kuna watu wataenda kuona MIUJIZA ambayo Ndugu zako hawajawahi kusikia. Utakao kusaidia Maisha yako yote. Mwambie YESU nataka kuwa MUUJIZA,  maana YESU ni MUUJIZA, mwambie unataka kuona NGUVU ZAKO, MIUJIZA YAKO na UTUKUFU WAKO, Amina.: Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.

Comments