EFATHA MINISTRY -KENYA

Haleluya, MUNGU wetu ni Mzuri, YESU wetu ni Mzuri, ROHO MTAKATIFU wetu ni Mzuri, Haleluya... Ibada jana ilikuwa nzuri sana, Wenzetu wa Kenya nao waliungana katika Kumtukuza na Kumuabududu BABA YETU MUNGU wetu, MUNGU MKUU MUNGU wa EFATHA katika Ibada nzuri yenye Uwepo na Utukufu wa MUNGU wetu, Haleluya, SIFA na UTUKUFU ni kwake YEYE BWANA na MUNGU wetu, Aliye MWANZO na MWISHO, Haleluya.

Pichani: Ibada ikiendelea jana (tarehe 29/June/2014) ikiongozwa na Mtumishi wa MUNGU Alex Muigah- Kanisa la Efatha Ministry Nairobi Town Centre

 Pichani: Mwana wa MUNGU Mwana Efatha, akiongea mbele ya Wana wa MUNGU kuwa atamsaidia na kumlea huyo baba pichani ambaye aliamua Kumpokea BWANA wetu YESU KRISTO, Kanisani jana Efatha Ministry Nairobi Town Centre.

Comments