MATUKIO katika Picha Ibadani tarehe 13/7/2014

Waimbaji Kwaya ya Chipukizi Efatha Ministry Mwenge Dar es Salaam, wakiwa Madhabahuni wakimwadhimisha BWANA MUNGU wetu katika Ibada ya Pili.


MATUKIO katika Picha jana Ibadani: Pichani ni baadhi ya madarasa ya Sunday School Efatha Ministry Mwenge Dar es Salaam, Tanzania. Watoto nao hawakuwa nyuma katika Kumuabudu na Kumtukuza YEYE Aliye MUNGU wetu MKUU.

Comments