SIKU YA PILI YA KUSANYIKO KUU LA EFATHA 2013
Huu ni Mwaka wa Mashangilio,... Wana wa MUNGU wakipeperusha Bendera katika Maaandamano ya Bendera kwa BWANA MUNGU Wetu. Kwa YESU BWANA MUNGU Wetu ni RAHA, FURAHA na AMANI Tele, kwa maana YEYE TUNAYEMTUMTUMAINI na KUMWAMINI Alikwisha Kuushinda Ulimwengu toka Miaka 2000 iliyopita, TU HURU SASA Kwa JINA LAKE KUU BWANA na MWOKOZI WETU YESU KRISTO, Haleluya!!! Wana wa MUNGU wa kutoka Eneo la Ushindi, wakishika Bendera na wakiandamana kwa Furaha na Shangwe... Wana wa MUNGU wa Kabila la Wamasai wakiwa nao katika Mashangilio,... Kusanyiko KUU la BWANA 2013 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiweka saini kitabu cha Wageni Mashangilio Hospital wakati wa Uzinduzi. Mtumishi wa MUNGU akiangalia Picha iliyokuwa hapo Hospitalini. Mtumishi wa MUNGU Akiweka sahihi kitabu cha Wageni baada ya kumaliza Ziara ya Ufunguzi wa Hospital ya Mashangilio, Kibaha Precious Centre. ...