KUSANYIKO KUU 2013
Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira akisalimiana na Watumishi wa MUNGU walioko kwenye Bodi za Efatha Ministry.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira na Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira wakiwapa mikono na kuwashukuru Wana wa MUNGU waliojitolea kufanya kazi ya BWANA ya Ujenzi wa Madhabahu Mpya ya BWANA MUNGU Wetu.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akisalimiana na Watumishi wa MUNGU Wachungaji na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Efatha na Mwenge Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment