SIKU YA PILI YA KUSANYIKO KUU LA EFATHA 2013

 Huu ni Mwaka wa Mashangilio,... Wana wa MUNGU wakipeperusha Bendera katika Maaandamano ya Bendera kwa BWANA MUNGU Wetu.



 Kwa YESU BWANA MUNGU Wetu ni RAHA, FURAHA na AMANI Tele, kwa maana YEYE TUNAYEMTUMTUMAINI na KUMWAMINI Alikwisha Kuushinda Ulimwengu toka Miaka 2000 iliyopita, TU HURU SASA Kwa JINA LAKE KUU BWANA na MWOKOZI WETU YESU KRISTO, Haleluya!!!









 Wana wa MUNGU wa kutoka Eneo la Ushindi, wakishika Bendera na wakiandamana kwa Furaha na Shangwe...
 Wana wa MUNGU wa Kabila la Wamasai wakiwa nao katika Mashangilio,... Kusanyiko KUU la BWANA 2013


 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiweka saini kitabu cha Wageni Mashangilio Hospital wakati wa Uzinduzi.

 Mtumishi wa MUNGU akiangalia Picha iliyokuwa hapo Hospitalini.




 Mtumishi wa MUNGU Akiweka sahihi kitabu cha Wageni baada ya kumaliza Ziara ya Ufunguzi wa Hospital ya Mashangilio, Kibaha Precious Centre.

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akimwombea Mtoto aliyekuwa akipatiwa Matibabu katika Mashangilio Hospital.

 Mtumishi wa MUNGU Akizungumza na Mtoto aliyekuwa akipata Huduma ya Matibabu hapa Mashangilio Hospital wakati wa Uzinduzi.
 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii akifungwa vifungo vya shati na Mke wake Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira.

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akikumbatiwa na Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira na Kumpongeza baada ya kumaliza vipimo na kuonekana yuko Mzima wa Afya Njema kabisa 100%,... MUNGU WETU ni MKUU SANA.




 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii akipata vipimo wakati wa Uzinduzi wa Mashangilio Hospital.

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akimsalimia Mama mjauzito ambaye alikuwa anajifungua muda huo wa Ufunguzi, ... Haleluya!!!


 Mashangilio... Asante YESU.
 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa amepiga magoti mbele ya MUNGU Wetu MKUU wakati wa Uzinduzi wa Jengo la Mashangilio Dispensary, Asante YESU.



 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akifungua Kitabu Kitakatifu cha MUNGU Wetu MKUU Biblia Takatifu, tayari kwa Kuweka Wakfu na Kufungua Jengo la Mashangilio Dispensary.


Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira akisalimiana na Mtumishi wa MUNGU Muuguzi Mkuu wa Jengo la Mashangilio Dispensary.


 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akisalimiana na Muuuguzi Mkuu wa Jengo la Mashangilio Efatha Dispensary, wakati wa Uzinduzi.





Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akishuka kwenye gari kwenye eneo la Jengo la Mashingilio Efatha Dispensary, kwa ajili Ufunguzi wa Jengo hili Mashangilio,... Sifa na Utukufu kwa MUNGU wetu MKUU wa Efatha.
Watumishi wa MUNGU Wauguzi wa Afya wakiwa katika moja ya vyumba vya Jengo la Mashangilio Efatha Dispensary Kibaha Precious Centre lililofunguliwa leo Asubuhi kipindi hiki cha Kusanyiko KUU la BWANA 2013, ... Tunamuinua MUNGU WETU MKUU na BABA YETU wa Efatha Ministry.
Mtumishi wa MUNGU toka Efatha Mashangilio Dispensary akimuhudumia mtoto wakati wa Ufunguzi wa Kituo hiki cha Afya, kilichofanyika leoTarehe 7 October 2013 Kibaha Precious Centre, tukio mojawapo la Mwaka wa Mashangilio katika Kusanyiko KUU la BWANA 2013, Tunamwambia MUNGU wetu na BABA Yetu, Asante.
Jengo la Hospital (Mashangilio Efatha Ministry Dispensary) lilipo katika Mji wa BWANA Kibaha Precious Centre, lilifunguliwa leo Asubuhi na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira,... Haya ni mojawapo ya MWAKA wa MASHANGILIO toka kwa MUNGU WETU MKUU.
  

Comments

  1. Baba binafsi niseme kuwa Nina kupenda sana na nipo na wewe katika kila jambo mbele za Mungu wetu aw Efatha .. Mungu akubariki sana

    ReplyDelete

Post a Comment