Posts

Showing posts from October, 2013

MUNGU WETU NI MZURI

Haleluya,... MUNGU wetu ni MZURI Sana, daima Anatuwazia MEMA, Anatupenda sana, Bwana wetu YESU KRISTO ni MZURI sana, YEYE HATUACHI KAMWE, daima yuko UPANDE Wetu, daima yuko NASI Watakatifu wake. ROHO MTAKATIFU ni MZURI, YEYE ni MSAIDIZI wetu, Daima HUTUONGOZA, HUTUKUMBUSHA YOTE, HUTUFUNDISHA YOTE, HUTUEPUSHA na Mabaya na Hatari zote, HUTUOMBEA KUSIKOTAMKWA, Daima HUKAA NDANI YETU, Sisi ni HEKALU L AKE. Jana Jumapili Wana wa MUNGU Wana Efatha, Watanzania WENZANGU, Tunamshukuru MUNGU wetu kupitia ROHO WAKE; Tulipokea chakula kizuri sana cha KIROHO Kupitia Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira, MUNGU anatamani watakatifu wote WATOKE katika Kusetwa na yule ibilisi muovu shetani. ROHO WA BWANA Alimtumia Vizuri Mtumishi wake Mama Eliakunda KUTUPATIA UFAHAMU JUU YA MAISHA YETU YA KIROHO.

NYUMBANI MWA BWANA

Image
  Tunamuabudu BWANA wa mabwana, MFALME wa wafalme,... YEYE ALIYEMUWEZA WAYOTE.   " NENO, MAFUNDISHO, MAHUBIRI YA JUMAPILI Tarehe 27/October/2013 toka MADHABAHU YA KITUME na KINABII Mwenge Dar Es Salaam, EFATHA MINISTRY ." - Mtumishi wa MUNGU Mama Eliakunda Josephat Elias Mwingira. “MOYO WANGU UMEJAA SHUKRANI” - Jifunze KUSHUKURU, utapata kuweza kuona mambo mapya katika maisha yako. Isaya 12:1-6 “Na katika siku hiyo utasema, Ee BWANA, nitakushukuru wewe; Kwa kuwa ijapokuwa ulinikasirikia, Hasira yako imegeuka mbali, Nawe unanifariji moyo. Tazama, MUNGU ndiye wokovu wangu, Nitatumaini wala sitaogopa: Maana BWANA YEHOVA ni nguvu zangu na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Basi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu. Na katika siku hiyo mtasema, Mshukuruni BWANA, liitieni Jina lake; Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa. Litajeni jina lake kuwa limetukuka……..” Unaposhikilia jambo lako katika Ulimwengu wa roho, LITATOKEA. Unatakiwa UAMINI kw...

WORDS OF WISDOM AND FULL OF KNOWLEDGE

(Servant of GOD Apostle and Prophet Josephat Elias Mwingira) “EVIL DOERS” After all these the bible tells us:- Psalm 27:1(The LORD is my light and my salvation; whom shall I fear? The LORD is the strength of my life; of whom shall I be afraid?) It is good when you UNDERSTAND the moment evil strikes at you, the best time for you to PRAY, the time to DESIRE ASSISTANCE, and the time to require fellow BRETHREN or ELDERS. Psalm 27:2 (When the wicked, even mine enemies and my foes, came upon me to eat up my flesh, they stumbled and fell). When Evil is directed at you, its main aim is to DEVOUR you. It is good if you UNDERSTAND what you have PASSED through, EVIL comes from people whose HEARTS are filled with HATE and when they speak the UTTER SWEETNESS. When they speak, you may think you are UNITED, but SPIRITUALLY they are FULL of EVIL. The evil are they that seek to devour your flesh. They are those who are subtle, hypocrites, witches etc. He is talking about the opp...

MANENO YENYE HEKIMA

MANENO YENYE HEKIMA NA UFAHAMU: (Mkalimani Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira). ''Saa ile ile UNAPOAMINI BWANA YESU KRISTO ameingia kwako, Saa ile ile UMEPONA"

NDANI YA NYUMBA YA BWANA JUMAPILI

Image
  Mmmh... Nyumbani mwa BABA kuzuri sana,...   Watumishi wa MUNGU wakiwa Nyumbani mwa BWANA...   Wana wa MUNGU ''Mass Choir'' Wakimuimbia na Kumchezea MUNGU BABA Yetu MKUU PEKEE.   Asante MUNGU wetu MKUU BABA, Asante YESU kwa NENO ZURI la leo, Neno zuri BWANA la KUTUPONYA, la KUTUWEKA HURU, la KUTUPA UZIMA, AMANI na FURAHA yako BWANA YA KWELI, Asante BABA, Asante YESU... ''Maarifa ya ROHONI"   Jumapili kwetu ni Muhimu sana kwa Wana wa MUNGU, Wana Efatha,... kwani ni siku MUHIMU sana kwetu Kumsikiliza Mkalimani wetu Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akitupa Chakula cha Roho, Akitupa Maagizo Aliyopewa na BABA Yetu wa Mbinguni kwa ajili yetu sisi wana wa MUNGU,... Ni siku ya Kukaa chini miguuni mwa BABA na Akitupa Maneno ya HEKIMA na UFAHAMU kwetu,... Oooh Asante YESU, Asante BABA.

SIKU YA SABA YA KUSANYIKO L EFATHA 2013 (SIKU YA MWISHO Y KUSANYIKO)

Image
  UTUKUFU Wa MUNGU Wetu MKUU, Ulionekana katika KUMTUKUZA na KUMUIMBIA na KUMUABUDU na KUMPA SIFA Kwa Nyimbo zenye UTUKUFU... Oooh Asante YESU, Ilikuwa Amani na Raha tu kwa YESU.   Usiku wa Mkesha wa KUSANYIKO KUU LA BWANA MUNGU Wetu MKUU PEKEE 2013, Kibaha Precious Centre Mji wa BWANA, (Pichani Wanakwaya wa Mass Choir wakiwa Madhabahuni Wakimwimbia na Kumsifu na Kumtukuza na Kumuabudu na Kumchezea MUNGU WETU MKUU PEKEE, BABA YETU). Oooh Haleluya, USIKU wa Mkesha wa Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu MKUU umewadia, MUNGU Wetu na BABA Yetu ni MZURI Sana, Hatimaye BWANA Wetu YESU KRISTO Atakuwa nasi Usiku wa leo Akishiriki nasi Karamu ya Chakula cha BWANA (Mwili na Damu ya YESU KRISTO), BWANA Ametuandalia kupitia Mtumishi wake Mwaminifu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira,... Oooh Asante YESU, Asante BWANA, Asante BABA.     Mtumishi wa MUNGU Mwanamuziki wa Injili wa Nyimbo za Kuabudu na Kusifu toka Uingereza, alikuja na Mtumishi wa...

SIKU YA SITA L KUSANYIKO LA EFATHA 2013

Image
Breaking News: Mtoto usiku huu amezaliwa, Haleluya... katika Kambi hii ya BWANA Kibaha Precious Centre. Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akipita katikati ya Wana wa MUNGU na Kuwabariki katika Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu 2013, Kibaha Precious Centre.   Asante YESU kwa Kumchagua Mtumishi wako na Kumtuma kwetu aje Atuandae Kutupeleka Mbinguni, Asante BWANA kwa UPENDO wako Huu Kwetu, Asante YESU. Haleluya,... Viwete, Wagonjwa, Waliopooza: WAMEPONA na Kutembea kwa NGUVU ya MUNGU WETU MKUU, MUNGU wa Efatha, Haleluya... Kwa JINA Lililo KUU LA YESU KRISTO BWANA.   Haleluya,... leo ni Siku nyingine tena, Tunamshukuru MUNGU wetu na BABA Yetu Aliye MUNGU MKUU PEKEE na Mtakatifu wa Watakatifu, NGUVU, UWEZA, MAMLAKA ni Yake MILELE hata Milele. Jana jioni tuliona Uwepo wa MUNGU Wetu MKUU kwa Jina la YESU KRISTO Bwana MUNGU Wetu Aliye Hai, Tuliona Miujiza na Nguvu za YESU KRISTO Ikitawala kupitia Mtumishi wake Mpenz...

SIKU YA TANO YA KUSANYIKO LA EFATHA 2013

Image
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akimkaribisha Mtumishi wa MUNGU toka Uingereza kwa ajili ya kutupatia NENO la MUNGU,... Asante YESU BWANA hata kwa kuwaleta Watumishi wako wengine toka sehemu mbalimbali za Dunia kwa ajili ya kutupa CHAKULA CHA KIROHO Wanao, Asante YESU, Asante BWANA Kwa UPENDO Wako kwetu Wanao, Asante BWANA. Asante BWANA Wetu YESU KRISTO BWANA, Kwa Kumchagua Mtumishi wako Mwaminifu Uliyempenda sana kumpa na KUMTUMA na Kumpa KUSUDI ili Aliandae Kanisa lako Tayari kwa Unyakuo, Kanisa lisilokuwa na Manyaaa,... Asante BABA, Asante YESU. ''Kabla ya Mkutano huu/ Kusanyiko hili kuisha, Matatizo yenu, Vilio vyenu vyote vitakwisha...." (Kipindi cha Mahubiri na Mafundisho Sasa hivi kinaendelea kutoka Kusanyiko la BWANA MUNGU Wetu MKUU 2013 katika Mji wa BWANA Kibaha Precious Centre).    ''Wewe ndiwe MPENZI WA MOYO WANGU, Ulifanya njia Jangwani, Huwezi KUSHINDWA, Wewe ni MUNGU BABA, Wewe Unabaki vile vile ...

SIKU YA NNE YA KUSANYIKO LA EFATHA 2013

Image
  Haleluya, Asante BWANA, Asante YESU kwa MASHANGILIO BWANA Haleluya.   Ni Shangwe na Furaha nyumbani kwa BABA Yetu Aliye MUNGU Wetu MKUU wa PEKEE.... Kibaha Precious Centre kwenye Kusanyiko la BWANA MUNGU Wetu 2013. Mafundisho na Mahubiri toka Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu Aliye HAI MKUU, MUNGU WA KWELI; Kibaha Precious Centre 2013. Mtumishi wa MUNGU: ASKOFU KITONGA toka NAIROBI KENYA wa KANISA LA REDEEMER CHURCH. SOMO: AMANI Watu wengi wanakwe nda kanisani lakini hawana safari ya kwenda mbinguni!!. Wengi mnateseka na wengine mnanunua madawa kwa sababu mnateseka, Kwa nini Paulo aliwaambia Watumishi FURAHINI katika BWANA? Je ni kweli Watakatifu WANAFURAHI? Kweli ni kwamba HAKUNA kwa sababu bado wanahitaji AMANI, ninataka unaposhangilia USHINDI wa Efatha ruhusu AMANI kwanza, Waebrania 12: 14. Mara nyingi ninapohubiri ujumbe wangu wa kwanza kwa maskini ni ‘AMANI’ nilikuwa nikihubiri katika Kanisa kubwa nyingi Kor...

SIKU YA TATU YA KUSANYIKO LA EFATHA 2013

Image
  Haleluya,... Utukufu na Uwepo wa MUNGU na NGUVU ya MUNGU WETU MKUU ikitawala ndani ya Madhabahu ya Kitume na Kinabii ya BWANA MUNGU Wetu MKUU, Kibaha Precious Centre.   Haleluya,... Kusanyiko la BWANA MUNGU Wetu 2013 Kibaha Precious Centre linaendelea, NGUVU za BABA Yetu MUNGU MKUU Zikionekana na Kutawala...   Watumishi wa MUNGU Wachungaji Viongozi na Wa Vituo...   Mtumishi wa MUNGU, Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry- Kenya Mchungaji Kikoti, akiwasindikiza kabila la Wahehe kutoka Iringa, wakimwadhimisha MUNGU WETU MKUU katika kusanyiko la BWANA 2013 Kibaha Precious Centre.   Mwanamuziki Jane Misso akimuinua MUNGU Wetu MKUU kwa Nyimbo za Sifa na Kuabudu katika Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU Wetu MKUU Kibaha Precious Centre 2013. Oooh Haleluya,... MASHANGILIO.   Ndani ya YESU BWANA Wetu Ni FURAHA, AMANI TELE, Haleluya!!!     OOooh Haleluya,... Kusanyiko KUU la BWANA MUNGU WETU Aliye HAI, MUNGU MKU...