Posts

NENO

Image
Efeso 1:3 "Atukuzwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Maana, katika kuungana na Kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni." Ukitaka vitu vya ROHONI lazima uwe Mtu wa Ibada, BARAKA zetu zipo katika Roho.

Hakuna SABABU ya kuwa Maskini

Image
- JITAMBUE Wewe ni Nani? - Halafu fanya kwa BIDII.

IMANI

Image
 UNAPOAMINI Yale YASIYOONEKANA Unathibitisha kwamba:- - MUNGU ni KWELI. - MUNGU ni HAKIKA. - MUNGU Yu HAI.

ZIARA YA KITUME NA KINABII YA MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - Efatha Ministry Kenya.

Image
Ni Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church wakiwa tayari kwa Furaha na Shangwe kwa ajili ya Kumpokea Baba yao wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.   Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akiwasili Kanisa la Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre, Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Nairobi City Centre wakimpokea. Mtumishi wa MUNGU Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Tanga (Kulia) Mch. Consolata Kitundu akiwa pamoja na Mume wake, Wakisalimia Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, Jumapili iliyopita (12/July/2015) Ibadani, Alikuja pamoja na Waimbaji wa Mass Choir Efatha Ministry Tanga. Wabarikiwe, walihudumu vema   Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa katika Nyumba ya BWANA Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church. Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Akiweka WAKFU Nyumba...

NENO

Image
Rumi 8:28 Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Kusudi la Mungu kukuokoa ni ufanye KAZI pamoja naye ili akupe Mema ya Nchi, kwa muda mwingi sana umefanya kazi zako wewe mwenyewe, wakati mwingine umefanya kazi za shetani. Kwa ujumla Mungu amekusudia MEMA kwa kila ALIYEOKOKA na Mema haya yanapatika kwa KUFANYA KAZI. Bila kufanya kazi na Mungu huwezi kula Mema ya Nchi, yaani Utajiri aliouweka Mungu hapa duniani

MATUKIO MBALIMBALI KITUONI EDEN (Dodoma) 17/June/2015 mchana.

Image
Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, anafika na kukiweka wakfu Kituo cha Efatha Ministry Eden (Dodoma)  Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akifungua Jengo la Kituo cha Efatha Ministry Eden.  Watumishi wa Efatha Ministry Eden wanampa Zawadi Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, pamoja na Watumishi wengine.  Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira anawabariki Mchungaji na mama Mchungaji Eliya Shoo wa kituo cha Efatha Ministry Eden.

MATUKIO MBALIMBALI KITUONI IHUMWA (Dodoma) 17/June/2015

Image
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, Akiweka wakfu na Kulifungua Kanisa la Kituo kipya cha Efatha Ministry Ihumwa (Dodoma) leo  Mchungaji (Mch Bigilimana) wa Kituo Kipya cha Efatha Ministry Ihumwa, Dodoma. Baada ya Kituo kuwekwa Wakfu na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira  Mtume na Nabii akitoa neno la Ubaba kwa wana Efatha kituoni Ihumwa Dodom