ZIARA YA KITUME NA KINABII YA MTUMISHI WA MUNGU MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA - Efatha Ministry Kenya.

Ni Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church wakiwa tayari kwa Furaha na Shangwe kwa ajili ya Kumpokea Baba yao wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akiwasili Kanisa la Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre, Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Nairobi City Centre wakimpokea.



Mtumishi wa MUNGU Mchungaji Kiongozi Efatha Ministry Tanga (Kulia) Mch. Consolata Kitundu akiwa pamoja na Mume wake, Wakisalimia Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Mwenge, Dar es Salaam-Tanzania, Jumapili iliyopita (12/July/2015) Ibadani, Alikuja pamoja na Waimbaji wa Mass Choir Efatha Ministry Tanga.

Wabarikiwe, walihudumu vema

 Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa katika Nyumba ya BWANA Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church.






Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Akiweka WAKFU Nyumba ya BWANA MUNGU Wetu MKUU Efatha Ministry Kenya- Taveta

 Efatha Ministry Kenya- Taveta




Comments

Popular posts from this blog

Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao." Proverbs 8: 17-21 "I love them that love me; and those that seek me early shall find me. Riches and honour are with me; yea, durable riches and righteousness. My fruit is better than gold, yea, than fine gold; and my revenue than choice silver. I lead in the way of righteousness, in the midst of the paths of judgment: That I may cause those that love me to inherit substance; and I will fill their treasures."